usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri TANESCO WAZIME UMEME JUMAMOSI USIKU, J2 WAUWASHE ILI TUPATE KULALA

    Hii kwa sababu baadhi ya makanisa Jumamosi usiku hukesha na kutufanya tukose usingizi
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO acheni kukosa ustaarabu: mkisema umeme utakatwa saa 12 asubuhi na kurudi saa 12 jioni, basi rudisheni umeme saa 12 jioni sio saa mbili usiku!

    Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
  3. Scars

    JamiiForums Tanzania FT: Usiku wa El Classico: Barcelona 1-2 Real Madrid | Venue: Spotify Camp Nou

    Barcelona leo wakiwa nyumbani wanatukaribisha vijana kutoka Madrid kwenye mchezo mkubwa na wenye msisimko. Barcelona anaingia kwenye huu mchezo akiwa favourite kwasababu ya home ground lakini pia recently performance kwenye Laliga ambapo katika mechi zote 8 alizocheza hajapoteza alama hata...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa niwe naosha vyombo baada ya chakula cha Usiku. Je wako sawa au wanaionea

    Nimeitoa sehemu. Binti anakaribia kuolewa hivi karibuni, kungwi wake kamwambia kuwa inabidi awe msafi sana hapo kwenye nyumba yake, moja ya kitu alichomwambia ni kuhakikisha jiko lina kuwa safi na lenye mpangilio mzuri, Ahakikishe hakuna chombo kichafu kinakuwepo jikoni muda wowote hata usiku...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kamera yako ya CCTV haioni vizuri usiku? Mwongozo wa picha safi gizani

    Habari wana JF, Swali ninalopata mara kwa mara: "Nimeweka CCTV, lakini usiku picha ni giza, ukungu au nyeupe kabisa — kwa nini?" Uhalifu mwingi hutokea usiku. Kama kamera yako haioni vizuri gizani, umelipia kitu kinachofanya kazi nusu tu. Leo nitaeleza kwa lugha rahisi jinsi night vision...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mwanza, Nitajieni sehemu za Kutembelea Hapa Mjini, Ndani ya Siku Moja (Asubuhi - Jioni), Usiku Naanza Safari ya Kuondoka.

    Maboss. Nimefika saa 10 jioni. Nimetokea Sengerema, sehemu nilizopita hadi sasa. 1. Daraja la Magufuli/Busisi. 2. Stendi ya Mabasi ya Nyegezi. 3. Nimeona Ujenzi wa SGR sema imepelekea kuziba view ya Ziwa unavoingia Town from Geita Rd. 4. Nimeenda Airport. 5. Nimeenda hadi kule mlimani...
  7. bless on

    JamiiForums Tanzania Kifua Kizito Usiku Hofu Isiyoelezeka

    Unazinduka katikati ya usiku wa manane. Huwezi kusogeza kiungo hata kimoja. Kifua chako unahisi kizito sana, kama kuna kitu kikubwa kimekukaa. Unajaribu kupiga kelele lakini sauti haitoki. Unahisi uwepo wa kiumbe fulani chumbani kwako kitu ambacho hakipaswi kuwepo hapo. Muda mfupi baadaye...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kongowe na Misugusugu tunateseka na harufu kali kutoka kiwanda cha pombe

    Wakazi wa Kongowe na Misugusugu, Kibaha, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya harufu kali inayotoka katika kiwanda cha pombe kilichopo Misugusugu. Harufu hiyo hujitokeza zaidi kati ya saa 7 na saa 9 usiku, wakati ambapo wananchi wengi wanakuwa wamepumzika. Hali hii inatukosesha utulivu na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuwanunua wale wa daraja la juu, A class, ndio utoe milioni kwa usiku 1 ?

    Tanzania ina mambo ya kushangaza sana wazee. Hivi unaanzaje kutoa mtonyo wa milioni moja kwa usiku mmoja tu kulala na demu kwa kisingizio ni A class? Dem anaejiuza ambaye pengine jana alikuwa na mteja mwingine, na kesho yake ana wateja wawili
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya kusafirisha abiria usiku kusitishwa? Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Huyu Baba Askofu, tunaomba Serikali impatie Ulinzi! Usiku na Mchana

    Maneno ya Askofu "Haki huinua taifa... Taifa lolote ili liendelee linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa Rais wa nchi, huyo ndiye 'right maker' wa haki." "Taifa limetenda dhambi mbaya. Yaani tuko kwenye dhambi mbaya. Mungu anasema, 'Haki huinua taifa'... Lazima asimame kwa...
  12. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Usiku huu GOAT anaagwa Kwa heshima

    Ndio kinachoendelea huko america kusini Mess yupo uwanjani akiagwa rasmi kutumikia timu ya taifa Dk73 Argentina 3-0 Benin Mess 1 goal & 2 asists
  13. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ila waafrika bwana!, mtu anaweza kugeuka kuwa paka ili asumbue watu usiku ila hawezi geuza makaratasi yakawa pesa

    Which is which
  14. N

    JamiiForums Tanzania Happy sabbath: ikifika usiku someni bliblia vijana achaneni na uzinzi someni biblia vijana

    Wakuu kwema, Nimefungua biblia leo nime kutana na ukurasa huu moja kwa moja basi nikaona ndio ukurasa ambao nilipaswa kuusoma kwa leo na nikaona ni share ujumbe wake ulikuwa sio wa kawaida ulikuwa ni mkali sana wenye tumaini na maonyo. vijana someni biblia Danieli 12:2-7 2 Tena, wengi wa hao...
  15. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Hii ya wanawake kuchukua video za wanaume wakiwa wamelala imekuwa trend sasa. Hakikisha haulali na mlupo usiku, atakuharibia maisha.

    Kila kona ni video za michepuko kuchukua video za wanaume ili wasisambaze either kumkomoa mwanaume au kumuumiza mke wa jamaa
  16. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Uzi wa mawazo ya usiku

    USIKU HUU NIMEKAA KIMYA, LAKINI NDANI NINA KELELE NYINGI SANA. Sina mzuka wa kitu chochote leo. Hata jambo la kawaida kabisa kama kupata chakula cha usiku limekuwa jambo kubwa kwangu. Nimekaa tu nikitazama maisha, nikijiuliza nimefika hapa kwa sababu gani na kesho nitainukaje. Kuna muda mtu...
  17. W

    JamiiForums Tanzania KERO Diwani aamshwa usiku kuonyeshwa taka zilizorundikana kando ya barabara Kibosho

    Hayo ni miongoni mwa maneno yaliyotamkwa na mkazi wa Kata ya Kibosho Mashariki, John Massawe, wakati akimweleza Diwani wa kata hiyo, Steven Massawe, hali ya taka zilizotupwa katika eneo la barabara ya Mweka, barabara inayotumiwa na wageni wanaposhuka kutoka Mlima Kilimanjaro. John alizungumza...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Milio ya mafataki usiku Mliman City inatukosesha amani na kutupa presha wakazi wa maeneo jirani hasa Sinza A

    Kumekuwa na tabia endelevu ya kupiga mafataki usiku eneo la Mliman City jambo ambalo linatuumiza wakazi wa maeneo jirani hasa wakazi wa Sinza A. Fataki hizi hupigwa bila kupewa taarifa zozote hivyo kuleta taaruki kwetu na hata kutupandisha presha kwani hali hii inatukumbusha ile milio ya risasi...
  19. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania OKTOBA 1, SAA SITA USIKU

    Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE. Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Jamii yetu ya israel,tunabadilisha mwaka usiku wa Sept 20,kuamkia 21st kama mwaka wetu mpya

    Kwa jamii yetu,sisi na community yetu mchana wa kubadilishia mwaka wetu katika sikukuu tunayoiita YOM-KIPPUR,basi kwa siku hiyo tunafunga kwa siku moja huku tukifurahia mwaka huo mpya kwa tarumbeta zetu ambazo tunaziita SHOFAR,pamoja na kula mikate yetu ambayo hatuweki hamira,hukandwa tu kwa...
Back
Top Bottom