Jamii yetu ya israel,tunabadilisha mwaka usiku wa Sept 20,kuamkia 21st kama mwaka wetu mpya

Jamii yetu ya israel,tunabadilisha mwaka usiku wa Sept 20,kuamkia 21st kama mwaka wetu mpya

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Kwa jamii yetu,sisi na community yetu mchana wa kubadilishia mwaka wetu katika sikukuu tunayoiita YOM-KIPPUR,basi kwa siku hiyo tunafunga kwa siku moja huku tukifurahia mwaka huo mpya kwa tarumbeta zetu ambazo tunaziita SHOFAR,pamoja na kula mikate yetu ambayo hatuweki hamira,hukandwa tu kwa ngano isiyokobolewa na kuweka chumvi kidogo sana na kuchomwa!

-Sherehe hii huisha jioni ya sept 21.
1000015799.jpg

------------

Yom Kippur begins at sundown on Sunday, Sept. 20 and end at nightfall on Monday, Sept. 21
 
Yehudah Amir Kahalani keeps kosher, is Shomer Shabbos, and goes to shul. His community has a mikveh, practices brit milah, and teaches their children Jewish history. His knowledge of Jewish law and Torah could rival that of a religious Jew anywhere in the world. Yet he heads up a tiny Jewish community in Arusha, Tanzania, where every day, he ensures that the deep but forgotten Jewish history of the region continues.

Speaking to the SA Jewish Report wrapped in a tallis, Kahalani explains that he’s just returned from South Africa, where his daughter was registering to go on an Israel programme. For him and his community, her going to Israel will strengthen ties that were broken and lost long ago.

READ MORE:
1000015843.jpg
 
Anambra, Nigeria jinsi walivyo sherehekea, YOM KIPPUR..!
1000015902.jpg
 
Back
Top Bottom