usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    Tuliozaliwa 1994 hatuamini kilichotokea usiku leo

    Tuliozaliwa 1994 hatuamini kilichotokea usiku leo.😔😔
  2. Pdidy

    Traffick mtupime kuthibiti Pombe njian ♌ usiku huu kupunguza ajali....vijana wako bar Toka saa nane mchana

    Polen najua nawachukulia mda WENU kufurahia MWAKA mpya Kumekuwa na ajali za ajabu sana MWAKA mpya ambapo Kama kungekuwa na upimaji wa vilevi huko njian walipotokea Tungeeweza kuthibiti vifoo kadhaaa TUNAOMBA leoo tukeshe wote kulinda uhai wetu Dec imekula sana JAMAN kupitilixa Mpaka...
  3. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Afanya ya Kushtukiza Usiku Miradi ya BRT, Aagiza Ikamilike Kabla ya Msimu wa Mvua za Masika

    WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU MIRADI YA BRT, AAGIZA IKAMILIKE KABLA YA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA. Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi tarehe 28, Disemba 2024 yenye lengo la kukagua maendeleo ya miradi ya ujenzi wa...
  4. A

    KERO Changamoto ya usafiri wa daladala nyakati za usiku Buhongwa-Usagara

    Habari, Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali inayowaumiza abiria hao Tafadhali mamlaka ziangalie hili
  5. D

    Pombe hazikati toka jana usiku

    nimekunywa pombe Jana usiku hadi muda huu. nimelewa can some one help?? I have tried drinking alot of water. I took soup in the morning. I still feel drunk.
  6. Meneja Wa Makampuni

    Huwezi fanikiwa kwa chochote bila maombi tena usiku wa manane

    Ndugu zangu kwenye jambo lolote unalofanya hutafanikiwa bila kuomba ndugu zangu. Fanya hilo jambo unalofanya lakini omba sana. Kila unaye mwona amefanikiwa katika jambo fulani anaomba sio kuombewa kuomba mwenyewe. Na mkiristo anaye omba yeye kama yeye kuombea jambo lake ndio anafanikiwa...
  7. Teko Modise

    Ajali: Basi la Asante Rabbi lagonga Canter maeneo ya mzani wa Njiku Singida usiku huu

    Tumepita sasa hivi hapo, Basi la Asante Rabbi linalofanya safari zake Arusha Mwanza, limegonga Canter baada ya dereva wa basi hilo kujaribu ku-overtake. Mtu mmoja mwanaume amelala chini pembezoni mwa ajali huku akiwa hajitambui. Maafisa wa jeshi la polisi wamefika eneo la tukio. Taarifa zaidi...
  8. M24 Headquarters-Kigali

    ATC ya saa 5 usiku JRO-DAR tunaondoka saa 9 alfajiri?

    1. Tumelala KIA(JRO) baada ya ndege yetu ya saa 5 usiku kucheleweshwa mpaka saa 9 na nusu alfajiri. 2. Domestic flights mtu unalala airport Karne hii? Mwezi uliopita Mwanza-Dar delay masaa 12 no apology na hakuna anayejali. 3. ATC ina CEO/MD? NB: European Union wana kila sababu kuipiga pini...
  9. T

    Hotel zinazohudumia abiria haswa usiku zingatieni usafi

    Hivi karibuni nilisafiri kutoka Mkoa flani nikalala Singida, kesho yake nikasafiri usiku kwenda Dar. Tulipofika Dodoma majira ya saa 5 usiku tukashuka kwenye moja ya hotel kwa ajili ya huduma za kijamii. Aisee mazingira ya maliwato ni mabovu. Kuchafu na maji hakuna kabisa. Nikajiuliza ni day...
  10. Subira the princess

    Ndugu zangu watanganyika usiku wa deni haukawii kukucha.

    Wasalaam. Mababu zetu zamani zile walikua na misemo ya konakona na mingine imenyooka, hatimae ule usiku wa deni umefika kesho tarehe 21/12/2024 mh mbowe atatoa msimamo wake kuhusu uenyekiti ndani ya chadema. Familia na wazee wamemnasihi asigombee, lakini machawa na wachumia tumbo wanamlazimisha...
  11. Roving Journalist

    Waziri Ulega: TANROADS mnatakiwa kufanya kazi Usiku na Mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yenu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yake. Waziri Ulega ametoa maagizo hayo kwenye mkutano wake na Menejimenti na Mameneja wa TANROADS wa mikoa yote nchini uliofanyika mjini...
  12. No Escape

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi. Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua...
  13. A

    KERO TANESCO - Chanika, mtaa Wa Mazinda, mjitafakari mnakata umeme kila siku saa 1 usiku mnarudisha saa 5 usiku

    Yaani huwezi kuamini Wananchi baadhi huku wamekuwa wanateseka saaana na kero ya umeme! Umeme unakata saa moja usiku na kurudi saa 5 usiku! Mchana unakatika na kurudi.. "This is too much" Hii ni kwa zaidi ya miezi kibao huku nyuma yaani Chanika kwa MAZINDA nikama bado wapo miaka ya zamani sana...
  14. Teko Modise

    Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za CAF kwa mwaka 2024 ni Usiku huu jijini Marakech, Morocco

    Kutoka Morocco, Usiku huu ni ugawaji wa tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika ( CAF ) Tuzo mbalimbali katika vipengele mbalimbali zinatarajiwa kutolewa usiku huu. Baadhi ya vipengele hivyo ni; Mwanasoka bora wa mwaka ( kwa wanawake & wanaume ) Golikipa bora wa mwaka Timu bora ya mwaka...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nimekutana na skin walker usiku wa kuamkia leo. Alikuwa binadamu, akageuka kuwa mbwa

    Usiku wa kuamkia Leo, muda ya saa Saba usiku, nikiwa na mwanangu wa chuo kikuu cha UDSM, mke wangu, Binti wangu wa sekondari na mtoto wa kaka yangu tulikiwa tunatoka hotelini, tunalisogelea gari letu lililokuwepo maeneo ya maegesho ya Golden Tulip, Oyster Bay. Mwanga wa eneo la maegesho...
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Kilichotokea jana usiku kwa watumishi wa TRA ni matokeo ya serikali kushindwa kudhibiti rushwa na ufisadi kwenye utumishi wa umma

    Watumishi wa TRA wengi (sio wote) kila mmoja kwa kitengo chake hutumia nafasi hiyo kujipatia pesa kinyume na taratibu. Serikali inakosa mapato kwasababu watumishi wa TRA na taasisi zingine wako busy kutafuta pesa. Mmoja wa watumishi wa TRA ambaye kafariki ninafahamiana naye kiasi cha kuweza...
  17. BigTall

    KERO Tumekwama ndani ya Treni ya SGR hapa Ngerengere kwa saa tatu sasa, tunaambiwa kuna suala la kiufundi

    Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo. Mpaka muda huu naandika hapa saa Tatu usiku huu ni kwamba tumekwama kwenye kituo cha Ngerengere tukiwa tunatokea...
  18. B

    Bao la usiku kwa ajili ya afya ya akili na mwili

    Hakuna mechi kali Kama Ile inayoanza saa tano na kuendelea watoto wameshalala, Aidha kama hamna watoto, basi mshamaliza task zote 👉Missionary style ndo iwe style ya mwisho, kutoa wazungu wenye asili ya wayahudi🤣 Kuna ile mechi fulani huwa inaanza Satisa usiku umeshtuka tu usingizini unavuta...
  19. JanguKamaJangu

    Raha ya ushindi wa Simba dhidi ya Bravos, mashabiki waingia mtaani usiku Pemba kusherekea

    Ushindi wa soka raha, hawa ni mashabiki wa Timu ya Simba, wakisheherekea ushindi wa timu yao dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola, jana jioni (Novemba 27, 2024). Sherehe hizo zimefanyika katika Mitaa ya Machomanne, Wilaya ya Chake Chake, Pemba. Katika mchezo huo, goli pekee la Jean Charles...
  20. OMOYOGWANE

    Kuna uwezekano Prince Dube aliingia uwanjani akiwa na wenge la pombe ya usiku (hanging over) Yanga kuna tatizo kubwa.

    Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka kama walevi wa ambiance au K vant Mpaka wqchezaji wa Al hilal wakawa wanaonyesha ishara ya...
Back
Top Bottom