Habari Yako kaka magical power Naomba ushauri kidogo kama unaweza kunishauri naitwa lea nina miaka 44 nimtu mzima😭💔, nilikutana na mkaka mtandaoni ambaye yy ana miaka 49.
Tukawasiliana hatimae tukaonana ijumaa iliyopita kweli akanieleza mahusiano yake yaliopita na jinsi alivyomsaidia yule dada...
Eee Bwana ni usiku tena asante kwa neema hii. Tuliikabili siku kwa juhudi zetu huku tukiwa na tumaini ndani mwetu.
Yawezekana haikuwa vile tulivyotarajia yawezekana haikuwa fungu letu kesho inaweza kuwa vile tulivyotami leo
Bwana wakati mwingine hili nililopitia leo ni kwasababu ya...
Mungu wangu naomba usiku huu ukawe usiku uliobeba jawabu hitaji langu na ukawe mwanzo wa maisha ya furaha na tabasamu kwangu
Bwana njia zako hazichunguziki za kuwajibu waja wako, wakati mwingine huwajia katika ndoto na kuwapa taswira za kesho zao njema kwa kuwapa taswira ulimwengu wa ndoto...
Hapa wilayani Arumeru usiku wa kuamkia leo yalipita manyunyu kidogo sana ya mvua, ajabu umeme umekatika kuanzia usiku mpaka sahizi hautarudi.
Huu mfumo wa umeme una nini. Je ingetokea dhoruba kubwa tungejificha wapi, tunaishi maisha ya kubahatisha sana, mfumo wa umeme wa TANESCO umeoza, na...
Kaka Magical power habari ya usiku huu kaka
Kaka angu ndoa imenishinda kama ndoa ndio hii basi imenishinda, nipo kwenye ndoa mimi ni Bi. Mkubwa mwanaume wangu kaoa wawili mwaka huu kwangu anakuja hata mara mbili kwa mwezi na akija anakuja nikiwa kwenye siku za kike kwasababu anajua mzunguko...
Tunasema, asante tena kwa majira haya ya usiku. Bwana uliyagawa majira na nyakati kwa ilivyokupendeza nasi tuyafurahia majira haya katika utukufu usioringanishwa na chochote.
Asante kwa wakati wa kutwa zima ya leo. Bwana tunaomba ulinzi utokao kwako katika majira haya ya usiku tena. Tulale...
Tunakushukru Eee Mungu Baba kwa pendo lako kuu umetulinda na hatari zote za mwili na roho tumeamka salama tunazo changamoto ndani mwetu kwasababu sisi ni wahitaji Bwana
Tunaomba ututendee wema wako sisi wahitaji katika maeneo yetu ya uhitaji wetu Eee Bwana Tutakapoyakabili majukumu basi...
Eee Bwana ni usiku tena asante kwa neema hii. Tuliikabili siku kwa juhudi zetu huku tukiwa na tumaini ndani mwetu. Yawezekana haikuwa vile tulivyotarajia yawezekana haikuwa fungu letu kesho inaweza kuwa vile tulivyotami leo
Bwana wakati mwingine hili nililopitia leo ni kwasababu ya...
Leo nimeboeka nikasema niende Temeke nikatembee mida ya sa5 usiku, kuna bar nikaingia nikawa nakunywa wine palikua panapigwa miziki ya bongo flava, lakini ilivyofika saa 6 usiku wakaingia VIJANA na matarumbeta na wadada wengi Sana wamevaa madela, nyimbo za bongo flava zikawa hazipigwi ikawa NI...
BWANA awe nanyi wana wa MUNGU
Kwanza naomba kumshukuru MWENYEZI MUNGU aliyetuumba
Sii tu kwamba aliyetuumba bali ameenda mbali zaid hata akamtoa mwanae wa pekee ili tupate kupona
Kuna nyakati niliishi kwenye zambi sana lakini MUNGU ni MWAMINIFU alinitoa huko akanipa neema au baraka au zawadi...
Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie.
Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini, na ni kawaida yetu kila siku kutoka pamoja kwenda kazini, tumekua ni watu wa kutaniana wakati wa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chanzo cha ndani kinasema baada ya Gamondi ametaka watu kumfanya kichaka cha kujifichia ilibidi ang'ake na kuwa mkali na kila mmoja afanye kazi yake kwa matokeo yeye asilimia mia atayafanyia kazi.
Ameng'aka kuna wachezaji uongozi unachangia unawafanya kama...
Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi.
Mapema leo asubuhi Yanga ilikuwa na kikao cha Kamati ya Utendaji lakini kimelazimika kurudiwa tena usiku kwa...
Hongereni sana wachezaji wa Yanga kwa ushindi wa jana. Kweli sisi mashabiki wa Klabu tulifurahi sana. Ule usemi wa Yanga inapendelewa sasa waseme mengine. Wachezaji walicheza kama timu. Nkane, Kibabage, Job, Pacome, Chama na wengineo walitufurahisha.
Msimu huu ndiyo utakuwa msimu wa historia...
Mikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote.
Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke
Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi.
Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola...
Wahuniiiiiiiii?
Nimewaita
Wahuni mje mumsaidie dada wa watu huku
Alialikwa na mpenzi wake geto saa 5 usiku akaenda na mchungaji wa kanisani kwao
Wakafanya ibada, saa 6 kasoro akaondoka kurudi kwao mchungaji akabaki geto mpaka asubuhi
Sasa asubuhi bofriend anapigiwa simu na binti, simu...
Maana Kuna wengine muda huu saa 6 usiku ndo muda wao wa mapambano..kunakucha yaan👊
Tunaolala,basi na tulale salama.
Kazi njema wana JF
Usiku mwema wanaJF!🙏
Kwanza kabisa nianze Kwa salamu: Asalam alaykum na kwawale wasiopenda salamu hii basi habari za asubuhi ndugu zanguni wana JF.
Kwanza kabisa ningependa kwenda moja kwa moja kwenye pointi husika nayo ni kile nilichokiona usiku wa Leo.
Kwa kawaida yangu na ratiba zangu za kulala siku za hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.