usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    iOS 16 kuanza kutumika leo saa 2 usiku

    iOS 16 inategemewa kutoka leo kuanzia mida ya saa 2 Usiku, na latest report ya mwisho ambayo imevuja inaonyesha mabadiliko mapya ambayo yatawakuta wale ambao wanatumia AirPods feki! Code ya iOS16 iliyotoka wiki iliyopita inaonyesha iOS 16 ina uwezo wa kutambua kama AirPods ni original au ni...
  2. M

    Serikali iache kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane

    Siku hizi imegeuka tabia. Mimi nasema ni tabia isiyo na afya ya serikali kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane. Hili ni jambo la kushangaza sana, najiuliza ni kitu gani kimeisibu serikali Kubehave kama genge la wachawi!. Sisi tunajua kuwa mida hiyo wananchi wengi wanakuwa wamelala na hata...
  3. M

    Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

    Habari wanajamii wenzangu Napenda kupata ushauri mara nyingi huwa inanitokea nakosa kabisa usingizi hadi usiku mwingi kuanzia saa 8 hivi kumetulia ndo vimbwangwa vinaanza napata usingizi wa ghafla alafu nakabwa na dude lisilojulikana nashindwa kufanya lolote nabaki nasali kimya kimya. Baada ya...
  4. Rick16

    Wenye matatizo ya kukoroma tukutane hapa, tupeane ushauri

    Nina miez takriban tisa kwenye ndoa yangu lakin changamoto kubwa inayonikabil ni tatzo la kukoroma usiku, hali inayomtesa sana mke wangu kipenzi. Tafadhali kama kuna mwenye dawa yoyote au njia yoyote ya kuzuia tatzo hli anijuze.
  5. Financial Analyst

    Mtandao gani wenye kifurushi cha usiku?

    kuna wakati nilikuwa nikipata halotel gb 10 kuanzia saa sita hadi saa kumi na mbili, ila naona wanazingua siku hizi, ni mtandao upi wenye huduma kama hii.
  6. Vigo Mnyama

    Nimefika mitaa ya California usiku huu wa manane.

    Habari za usiku huu. Naitwa shelta ni kijana mwenye ndoto ya kufika jijini America lakini usiku huu nimeota niko California na nimeridhika kabisa kwa moyo wangu wote.. Hakika ni pazur panavutia sana niko na Snop Dogi anawasalimia sana. Vijana acheni bangi mtumikieni Yesu.
  7. Mwande na Mndewa

    Usiku mwema ndugu Augustino Lyatonga Mrema

    USIKU MWEMA NDUGU AUGUSTINO LYATONGA MREMA. Leo 13:15hrs 21/08/2022 Usiku mwingine tena,mwamba umelala,daima tutaikumbuka mikutano yako na wananchi, mabomu ya machozi yaliyokuwa yakipigwa, khanga zilizokuwa zikitandikwa na akina mama ili utembee juu yake wakati ukipita mitaani na mambo...
  8. D

    Polisi Kanda ya Ziwa tuondoleeni hatari hii barabarani madereva nyakati za usiku

    Habari wadau Maeneo ya Igunga, nzega, tabora, tinde, shinyanga, mizungwi, geita, chato, masumbwe, Isaka,kahama, ushirombo n.k Ikiwa hujawahi tembea maeneo hayo usiku ni vigumu sana kuelewa hatari ya trekta mbovu, tela za punda na ng'ombe zinazotumika usiku kucha! Maeneo hayo kuna treka za...
  9. Marathon day

    Tatizo la kukatika umeme mara kwa mara ifikapo saa moja usiku mpaka saa nne

    Ndugu wahusika, Mimi ninatatizo la hizi aina ya MITA za TANESCO Mpya, Yaani maeneo yangu IFIKAPO jioni ya saa 12 jioni mpaka saa 4 usiku ni shida Kila dakika Moja umeme unakatika na kuwaka mfululizo, cha ajabu majirani zangu umeme upo mda wote. Nilijaribu kuulizia Taneco wanasema aina ya MITA...
  10. N

    Waziri Makamba: Bwawa la Mwalimu Nyerere sasa kazi ni usiku na mchana

    Waziri wa Nishati, January Makamba ametembelea mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere Agosti 08 2022 ili kukagua na kuangalia hatua mbalimbali zilizofikiwa na mradi huo. "kwa sasa tumefika asilimia 67, Katika Miaka Miwili na nusu ya Mwanzo (Kuanzia Disemba 2018 - June 2021) tulifikia...
  11. Komeo Lachuma

    Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

    Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu wana kiri) Nikimfumania mara nyingi anakuwa mkali nami namwomba msamaha kwa...
  12. GENTAMYCINE

    Je, Marais wa Siku hizi wa Afrika Kujisifia kuwa Saa 8 za Usiku nao hukesha kama Popo ni vyema au ni Uthibitisho wa Kufeli Kwao Kiuongozi?

    Madaktari Bingwa wengi wa Akili wanasisitiza na Kutusisitiza mno Wanadamu ( Watu ) kuwa pamoja na kwamba tupo busy na Maisha ila Usiku kuanzia Saa 4 hadi Saa 11 ni lazima tuwe tumelala vya Kutosha Kwa Afya ya Miili yetu na Akili pia. Wataalam hao wakaenda mbele pia na kusema kuwa Mwanadamu...
  13. L

    Changzhou: Watalii wafanya manunuzi kwenye mtaa wa kibiashara wakati wa usiku

    Julai 31, huko mjini Changzhou mkoani Jiangsu, China, wakazi na watalii walikuwa wakifanya manunuzi kwenye maduka mbalimbali katika mtaa wa kibiashara wa Hanjianglu uliopambwa kwa taa za rangi wakati wa usiku.
  14. D

    Mandonga atoroka Songea usiku wa manane, inadaiwa kadandia roli la sementi, tumuombee afike salama mtu kazi

    Inasemekana baada ya pambano hakurudi hata hotelini; ameondoka usiku mnene bila kuaga. Anasema uchawi umehusika alikuwa anaona mishale tu badala ya ngumi ndiyo maana kapigwa. Anaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe.
  15. Sozo_

    Magari ya taka yavute vyoo usiku na sio mchana

    Wadau hii imekuwa kero, mtu umekaa mahali unapata chakula unasikia harufu mbaya na kuanza kuhisi kuna mtu amepumua. Baadaye unagundua ni gari linavuta choo kwa jirani. Kwanini magari haya yasiwekewe utaratibu yawe yanavuta usiku, nasema usiku kwa sababu kunakuwa na idadi kubwa ya watu...
  16. O

    Kama ilivyo kwa mwanadamu, mimea hulala usiku?

    Hapo chini ni picha za mmea uitwao muhaladari, wengine wanaita mdodoma. Kisayansi unaitwa panama berry tree. Picha ya kwanza imepigwa wakati wa usiku na nyingine wakati wa asubuhi. Kinachoonekana ni kwamba wakati wa usiku majani husinyaa na kufumba kabisa (kulala). Ikifika asubuhi tu unaanza...
  17. M

    Wizi unaofanywa usiku Dar kwa kukata nyavu za madirisha

    Wadau ukipita sehemu nyingi Dar es salaam yani kwenye mitaa na makazi ya watu unakuta madirisha mengi ambapo nyavu au wavu ukiwa umechanwa ukionesha kuwa kuna wizi ulishawahi tokea Wezi hao hutumia usiku wa manane kuwa ni nyakati ambazo wananchi wengi wamekuwa wamelala, hutumia dawa kama spray...
  18. Komeo Lachuma

    Sijaoa bado. Nimekuwa mtu wa papa sana. Asubuhi Pono usiku sikosi Changu. Naombeni Msaada

    Haya maisha kama ukiwa umezoea sana jambo. unaweza teseka sana. Mimi nimechelewa sana kuanza kutumia papa.siku nimeonja tu nikapenda sana... Nikajikuta nitafuata papa popote pale nile. Natamani nioe ili niwe napata papa wakati wote. Sisi wa kanda ya Ziwa wengi tukija Dar basi ndo unakuwa ulevi...
  19. P

    Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

    Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000? Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote...
Back
Top Bottom