FT: Usiku wa El Classico: Barcelona 1-2 Real Madrid | Venue: Spotify Camp Nou

FT: Usiku wa El Classico: Barcelona 1-2 Real Madrid | Venue: Spotify Camp Nou

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
53,537
Reaction score
133,017
Barcelona leo wakiwa nyumbani wanatukaribisha vijana kutoka Madrid kwenye mchezo mkubwa na wenye msisimko.

Barcelona anaingia kwenye huu mchezo akiwa favourite kwasababu ya home ground lakini pia recently performance kwenye Laliga ambapo katika mechi zote 8 alizocheza hajapoteza alama hata moja.

Lakini sababu nyingine ni rekodi za H2H zikim favor zaidi Barcelona kutokana na kupata matokeo mbele ya Madrid.

Mechi 10 zilizopita Barcelona ameshinda mechi 7 huku Madrid tukiwa tumeshinda mechi 3 pekee.

Na katika rekodi ya hii Derby, mpaka sasa hakuna mbabe wa nani kamfunga zaidi mwenzake.

Barcelona na Madrid zimechezwa jumla ya Derby 264, Barcelona ameshinda mara 106 naye Madrid kashinda mara 106 huku mechi 52 zikiisha kwa sare.

Unampa nani nafasi ya kuibuka na ushindi kwenye hii mechi?

Utabiri wako ni upi?
 
Madrid anashinda hii mechi 1-3

Diomande atafunga bao la 2
Ikitokea mkafungwa utanikoma I'm cooking tooo much Vawulence for bantering
16798.jpg
 
Oya dogo mimi hunitoi Barca lamine Yamal. Salah angekuwa real madrid ningekuwa na wakati mgumu sana. Namuombea lamine Yamal abebe baloon na salah mwaka kesho. Ikitokea hivyo sitamdai tena mungu.

Barca 2 Madrid 0

hydroxo
Yes yes.

Catauna for life.

Mes que un club.
 
Ikiwa ni wekeend tulivu zaidi kibunda mfukoni ni usiku wa vinara wawili kutokea spain wakipimana nguvu leo katika uwanja wa Camp nou

uran Mad Max
Scars
 

Attachments

  • FB_IMG_1792955690725.jpg
    FB_IMG_1792955690725.jpg
    231.5 KB · Views: 7
  • FB_IMG_1792955658207.jpg
    FB_IMG_1792955658207.jpg
    135.4 KB · Views: 6
Back
Top Bottom