FT: Usiku wa El Classico: Barcelona 1-2 Real Madrid | Venue: Spotify Camp Nou

FT: Usiku wa El Classico: Barcelona 1-2 Real Madrid | Venue: Spotify Camp Nou

Usishangae sana.

Kwao kumfunga Barcelona ni zaidi ya kuchukua ubingwa wa La liga.

Mwaka jana baada ya ushindi wa 2-1 kwenye el clasico ya kwanza walishangilia kwa nguvu sana mpaka duara waliweka wakawa wanarukaruka kama vile wamechukua ubingwa.
Ngoja, si watakuwa wamejisahau. Mechi ijayo tukikutana wanachezea mvua nyingi.
 
Wadau kama tulikuwa tumeukacha mpira hivi.

Ila Jana,nimeshangazwa na Jose Mourinho si wakupaki basi Tena, kucheza kiuwoga uwoga, kivizia vizia katika mechi kubwa. Imenishangaza kuhusu Jose.

Real Madrid Jana imestahili ushindi kwa kweli.
 
Usishangae sana.

Kwao kumfunga Barcelona ni zaidi ya kuchukua ubingwa wa La liga.

Mwaka jana baada ya ushindi wa 2-1 kwenye el clasico ya kwanza walishangilia kwa nguvu sana mpaka duara waliweka wakawa wanarukaruka kama vile wamechukua ubingwa.
Tafuteni striker halisi
na timu yenu inakosa sn nafasi za wazi mechi ilikuwa inaishia mguuni kwa yamal na Raphina
 
Tafuteni striker halisi
na timu yenu inakosa sn nafasi za wazi mechi ilikuwa inaishia mguuni kwa yamal na Raphina
Tulikuwa na siku mbaya kazini.

Kuhusu natural striker ilo ni must.

Tunatarajia tutafute striker msimu ujao.
 
Yule Diamande asipolewa sifa ni baluni Dio kontenda kabisa.
 
Tumewashona pale pale kwao. My observations:

1. Timu tunayo. Tatizo ni Vini.
2. Kitu cha msingi Camavinga amewahi
kufanya in a Madrid shirt ni hii assist ya leo
3. Tchou was at his prime today. Kacheza chini ya kiwango sana miaka ya Karibuni.
4. Chelsea waongezewe hela ya Cucurella
5. Yamal anapotea kabisa big games.

iHala Madrid
Kutomjumuisha Diamande kwenye list Yako ni kumkosea heshima
 
Na katika rekodi ya hii Derby, mpaka sasa hakuna mbabe wa nani kamfunga zaidi mwenzake.
Miaka yangu yote ya kufatilia mpira sikuwahi kujua kuwa hii ni Derby nilikuwa najuwa hawa mabwana ni Rival tu.
 
Back
Top Bottom