FT: Usiku wa El Classico: Barcelona 1-2 Real Madrid | Venue: Spotify Camp Nou

FT: Usiku wa El Classico: Barcelona 1-2 Real Madrid | Venue: Spotify Camp Nou

Bata na anapenda ku flex.

Na hii ndio maana left backs zinamuwekea mikakati mikali ya kumdhibiti kwasababu wanajua akiwasumbua atatamba.

Mfano mechi ya PSG alikuja na mkwara "PSG I've come"

Watu wakamfungia booster mechi ikaisha wakiwa wamepoteza.

Of course sitaki dogo abebeshwe lawama ambazo zinaweza kumuathiri kisaikolojia akakosa kujiamini ila uongozi ujitahidi kumsaidia dogo apunguze baadhi ya mambo unnecessary
Kabisa.

Kina CR7 na Messi wametupa burudani kwa miaka mingi kweye soka na ngumu sana kuskia skendo zao za starehe za kupitiliza na wanawake.

Nidhamu ipo juu sana wakati hao watabe wanasakata kabumbu la ushindani.

Halafu walishajua uwezo wao kwahiyo wakawa wanajilinda sana na mambo ya nje ya uwanja.

Hawa madogo wa sku hizi hata akigundua ye kipaji bado unakuta wana ujinga ujinga mwingi unaokuja kuwa cost.
 
Waache jamaa zetu nao wainojoi kwa kutufunga.

Misimu miwili hapo nyuma tumewaonea onea sana.

Kwa kweli tungeshinda sisi uzi ungekuwa mfupi tu si unajua sisi kumfunga Madrid sio habari tena habari ni wao kutufunga sisi.
Kinachonifurahisha ni kwamba tukiwakamata huwa tunawatandika magoli mengi sana 😂

Wao wakitufunga ni gili mbili au Moja.
 
Na hii comment yako ni sehemu ya kuufanya uwe mrefu.

Sasa ili usiendelee kushiriki kuufanya uwe mrefu, jiepushe kuijibu hii comment.
Ila tambeni tu, najua siku nyingine tukikutana Uzi utaishia page ya pili, maana tutawaharakisha magoli hadi mzime simu zenu.
 
Kabisa jamaa wakijaaga kwenye mifumo yetu tunawatandika goli za kutosha.

Tofauti na wao margin ni ndogo sana.
Ile Galácticos yao ya awamu ya pili ilikuwa inachapwa bila huruma na akina Messi, walichapika 6 wakachapika tena 5 😂

Ukubwa wa pua si wingi wa makamasi.
 
Kinachonifurahisha ni kwamba tukiwakamata huwa tunawatandika magoli mengi sana 😂

Wao wakitufunga ni gili mbili au Moja.
Hata ukitufunga nyingi bado utaambulia point 3 tu.

Rodri ni uchochoro mzuri sana wa kupitisha mipira.

Wenzako wanamlaumu yeye wanahisi kaja na gundu kwasababu akiwa Man City hajawahi kuifunga Madrid.
 
Furaha yako ya Simba inaenda kupotea hapa ktk hii game.
1793024911276.jpeg
 
Kama ushawishi kujiona mjinga, kumbuka Barcelona walimpumzisha Rodri kwenye mechi ya UEFA dhidi ya PSG ili atunze energy ya kwenye El Classico.

FB_IMG_1793027650078.jpg
 
Na hii comment yako ni sehemu ya kuufanya uwe mrefu.

Sasa ili usiendelee kushiriki kuufanya uwe mrefu, jiepushe kuijibu hii comment.
Mkuu nakukubali sana kwenye haya makitu,halafu naona tunashea vitu vingi sana kwenye ushabiki,big up mkuu
 
Kama kweli wewe ni shabiki wa madrid basi unajua sana mpira kuliko wenzio wengi wanaotumia hisia.

Mda mwingine unaweza kuwa na timu bora na bado ukafungwa.

Kuna siku zinakuwa mbaya tu kazini.

Leo Barcelona tumefungwa kwa sababu ya siku mbaya tu kazini lakini madrid ana timu unga inayohitaji marekebisho maeneo mengi sana.

Timu yenu inapoteza sana mipira haiwezi kucheza under pressure haiwezi kukaa na mpira hata dakika moja bado mna kazi kubwa.

Ila wenzio kwa vile wameshinda wanaona wamekamilika.

Acha tuache mwisho wa msimu tutajua nani ana timu nzuri nani mbovu.
Madrid kacheza vizuri, Barcelona kiwango kimeshuka Lamal hakuna alichokuwa anafanya,
 
Hata ukitufunga nyingi bado utaambulia point 3 tu.

Rodri ni uchochoro mzuri sana wa kupitisha mipira.

Wenzako wanamlaumu yeye wanahisi kaja na gundu kwasababu akiwa Man City hajawahi kuifunga Madrid.
Haya bwana!
 
Back
Top Bottom