FT: Usiku wa El Classico: Barcelona 1-2 Real Madrid | Venue: Spotify Camp Nou

Siku ikitokea tukakutana na timu kama PSG, Arsenal au Bayern ndo mtajua kuwa tatizo lililopo ni zaidi ya Vini
Kama kweli wewe ni shabiki wa madrid basi unajua sana mpira kuliko wenzio wengi wanaotumia hisia.

Mda mwingine unaweza kuwa na timu bora na bado ukafungwa.

Kuna siku zinakuwa mbaya tu kazini.

Leo Barcelona tumefungwa kwa sababu ya siku mbaya tu kazini lakini madrid ana timu unga inayohitaji marekebisho maeneo mengi sana.

Timu yenu inapoteza sana mipira haiwezi kucheza under pressure haiwezi kukaa na mpira hata dakika moja bado mna kazi kubwa.

Ila wenzio kwa vile wameshinda wanaona wamekamilika.

Acha tuache mwisho wa msimu tutajua nani ana timu nzuri nani mbovu.
 
Kipindi hicho anaamua games alikuwa anatrack back kusaidia defence? Mbona matokeo yalikuwa yanapatikana?

Ni kweli kiwango cha Vini kimeshuka, lakini winning streak ya gemu mbili tu sidhani kama inatosha ku conclude kuwa tatizo limekuwa solved. Siku ikitokea tukakutana na timu kama PSG, Arsenal au Bayern ndo mtajua kuwa tatizo lililopo ni zaidi ya Vini

He compensated by scoring, assisting, dribbling past defenders, and holding the ball. He was always decisive in big games. Sahizi anafanya nini kati ya hivyo? Vini kawa mzigo kila mtu and their grandma anajua; labda wewe tu, mkuu.
 
Kwahiyo ninyi wote pamoja bibi zenu mnaamini tatizo la Real Madrid ni Vini tu kama ulivyosema?
 
Kama kweli wewe ni shabiki wa madrid basi unajua sana mpira kuliko wenzio wengi wanaotumia hisia.

Mda mwingine unaweza kuwa na timu bora na bado ukafungwa.

Kuna siku zinakuwa mbaya tu kazini.

Leo Barcelona tumefungwa kwa sababu ya siku mbaya tu kazini lakini madrid ana timu unga inayohitaji marekebisho maeneo mengi sana.

Timu yenu inapoteza sana mipira haiwezi kucheza under pressure haiwezi kukaa na mpira hata dakika moja bado mna kazi kubwa.

Ila wenzio kwa vile wameshinda wanaona wamekamilika.

Acha tuache mwisho wa msimu tutajua nani ana timu nzuri nani mbovu.
Mimi ni shabiki kindakindaki tu wa Real Madrid tangu 2009, ila sipendi kujilisha upepo.

Watu wameathiriwa na ushabiki wa Simba na Yanga kiasi kwamba kila jambo wanalitazama kwa hisia zaidi.

Ila ukweli ni kwamba ile timu bado ni unga sana tu, na ina matatizo karibu kila sehemu, si ile Real Madrid tuliyoizoea. Akina Arsenal na PSG ndio wenye uwezo sahihi wa kutuonesha uhalisia wa matatizo hayo. Hata hao Barca wamekuwa na siku mbaya tu, ndio maana ushindi kwa Real umekuja kama suprise fulani.
 
"We never prioritized PSG game, we're resting our important players for El Clasico"
FB_IMG_1793000572384.jpg
 
Nuno Mendez baada ya kujua Lamine Yamal kapata Baba mpya anaitwa Cucurella
FB_IMG_1793000615486.jpg
 
Vitu vilivyokutwa kwenye begi la Cucurella jana
FB_IMG_1793000698189.jpg
 
Cucurella emptying his pockets after the final whistle
Screenshot_20261026-104745.png
 
Mimi ni shabiki kindakindaki tu wa Real Madrid tangu 2009, ila sipendi kujilisha upepo.

Watu wameathiriwa na ushabiki wa Simba na Yanga kiasi kwamba kila jambo wanalitazama kwa hisia zaidi.

Ila ukweli ni kwamba ile timu bado ni unga sana tu, na ina matatizo karibu kila sehemu, si ile Real Madrid tuliyoizoea. Akina Arsenal na PSG ndio wenye uwezo sahihi wa kutuonesha uhalisia wa matatizo hayo. Hata hao Barca wamekuwa na siku mbaya tu, ndio maana ushindi kwa Real umekuja kama suprise fulani.
Yes kabisa Barca tulikuwa na siku mbaya tu kazini.

Uwezi kuwa bora wakati wote hata kama una timu bora.

PSG alifungwa 3 kwa 0 na Chelsea fainali licha ya PSG kuwa timu bora kuliko Chelsea.

Surprises kwenye soka zipo tu.

Hata hiyo jana Barca alidominate game vizuri tu sema forward line yetu ilikuwa butu sana.

Madrid alitumia nafasi chache za kufika langoni mwetu na kutuadhibu lakini timu inavyocheza unaona kabisa inahitaji maboresho ya kutosha.

Ila wenzio kwa vile wameshinda wanaona timu iko vizuri sana.
 
Anachukua Mbappe

Ila hata akichukua Kane ni fresh ila naamini Mbappe anaweza kuibuka mshindi kwenye hiyo tuzo.
Mbappe angechukua hata kombe la mfalme tu basi angebeba bila ya doubt yoyote.

Kile kigezo cha lazima uwe umesaidia timu yako ku win makombe kama kinamtoa nje ya mchezo.
 
Utashangazwa hapo kesho
 
Anachukua Mbappe

Ila hata akichukua Kane ni fresh ila naamini Mbappe anaweza kuibuka mshindi kwenye hiyo tuzo.
Mbappe anachukua mzigo, labda ifanyike nongwa kama aliyofanyiwa Vini.

Lakini muhimu zaidi asichukue Lamine, maana yule dogo kauwezo kidogo tu kashajiona kama vile yeye ni zaidi ya Pele.
 
Back
Top Bottom