FT: Usiku wa El Classico: Barcelona 1-2 Real Madrid | Venue: Spotify Camp Nou

FT: Usiku wa El Classico: Barcelona 1-2 Real Madrid | Venue: Spotify Camp Nou

Miguu ya Lamine Yamal leo kila akitaka kufunga
bugaleetz_3990479892934577602.jpg
 
Mechi ijayo ya Barcelona vs Alaves tarehe 31 jumamosi kitu Barca atakachoifanyia huyo kibonde yani hasira zote za leo atamuangushia.
 
Pale unapolipia online kitabu cha mbinu ya kuwa tapeli halafu yanapita masaa kitabu hakifiki na simu hapokei
 
I can't believe Cucurella cooked his national teammate
FB_IMG_1792966204156.jpg
 
Eti ila huyo kobazi🤣😂
Dogo namkubali kwa sababu mchaMungu sana na yuko humble sio kama Yamal Mzee wa totoz , show offs na Salah Mzee wa kutukera .

Mtu wa dini sana amehifadhi Qur'an hata celebration yake akinyoosha kidole Cha shahada juu na moyo kifuani akikududia hivi 👇
images (69).jpeg


images (67).jpeg


images (66).jpeg
 
Kipofu leo kaona.

Nomeshangaa leo hawajaweka duara la kushangilia kumfunga Barca.
 
Oya dogo mimi hunitoi Barca lamine Yamal. Salah angekuwa real madrid ningekuwa na wakati mgumu sana. Namuombea lamine Yamal abebe baloon na salah mwaka kesho. Ikitokea hivyo sitamdai tena mungu.

Barca 2 Madrid 0

hydroxo
Yaani Salah katamba miaka yote hiyo hajachukua ballon d'or halafu aje kuichukua mwakani? Maombi mengine hata Mungu huwa hapotezi muda wake kuyasikiliza.
 
Back
Top Bottom