Hayo mengine yote nakuunga mkono, ila hiyo namba 1 yako ielezee kitaalam tuone hilo tatizo la Vini ni lipi.
Vini akiwa kwenye form na asivyo na tabia ya uchoyo wa pasi game ya leo ingekuwa simple tu.
Mnamchukia bure tu yule dogo kwa sababu watu wengi mna asili ya roho mbaya. Hiyo timu inavyoruhusu mabao kirahisi kwa uzembe wa mamido na mabeki yote hayo huwa ni makosa ya Vini? Vini kawezesha ushindi kwenye game ngapi zikiwemo el classico hadi leo ionekane yeye pekee ndo tatizo? Game ijayo tukichapwa bila Vini mtamsonta vidole Vini?