Unaweza kusikiliza muziki ukiwa offline backup
Pia unaweza kudownload miziki aina yote ukija wewe ni kusikiliza tu bila bando
Na pia kwa wanafunzi wa chuo unaweza kulipia elfu 3500 tu Kila mwezi na kwa watu ambao sio wanafunzi ni elfu 6900 tu
Hizi hapa ndio risiti zangu za malipo hapa mpaka...
Wakuu,
Kama mnavyojua kuwa tuko mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 na hivi karibuni mtandao wa kusikilizia muziki ambao una makao makuu yake huko USA, umetoa orodha ya wasanii kutoka Tanzania waliofanya vizuri zaidi.
Kwenye list yao, Spotify wametoa orodha ya wasanii, album na ngoma zilizofanya...
Makala haya yanaorodhesha wasanii wa Kiafrika kulingana na wasikilizaji wa kila mwezi wa Spotify (Monthly Spotify Listeners. Kama vile ungedhani, Afrobeats inatawala.
Pata full list hapa.
In March 2021, Spotify expanded into the African market, making their streaming platform accessible to...
Hongera sana #Kondeboy kwa kuingiza wimbo 1 kwenye top 5 ya nyimbo bora za Afrobeats kwa mwaka 2023 huko Spotify..
Siku zote kazi bora huwa inaonekana, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Ukitoa wimbo mkali utabaki kuwa mkali tuu hata usipofanya promo. Tujifunze kwa wanaijeria, hawana shobo na...
Habar wakuu, mimi ni mgen kidogo kwenye matumiz ya app ya spotify
Ninachofaham ni ku search nyimbo na kuiskiliza , mbaya zaidi ninapochagua nyimbo unakuta nikii play ina play nyimbo nyingine
Ukiachana na hiyo kuna kitu kingine nimekutana nacho kinaitwa podcast sasa naomba nifahamishwe nini...
Wakubwa kwa aliewahi kutumia hii app ya Spotify kusikilizia muziki vipi nyimbo za Tanzania zipo humo au ni za mbele tu maana nimetoka kuifatilia mbali app ya boomplay kwa kuchoshwa na Ads kila baada ya second kadhaa.
Kilicho nifanye niifute imenikera sana leo nimekutana na mtu tunafahamia sasa...
Wakati umaarufu wa muziki wa Afrobeats ukiendelea kukua duniani kote, Mtandao wa Spotify umezindua jukwaa jipya ambalo litakuwa na habari zote za Wasanii na Maendeleo katika aina hiyo ya Muziki.
Tovuti hiyo itaangazia mahojiano na wataalam wakuu, video na data zaidi za Spotify na mitindo kuhusu...
Mpangilio wa nyimbo katika Album ya msanii ni ubunifu ambao unapaswa kuonekana. Wasanii wengi wanapangilia nyimbo katika Album zao kwa mpangilio maalum; na wanapendelea kuona wasikilizaji wakisikiliza Album katika mpangilio ambao msanii alikusudia.
Adele ametoa Album yake ya “30” ambayo...
Finally, App ya Spotify imeanza kuweka Real-Time Lyrics katika Miziki kwa watumiaji wote duniani. Real-time lyrics ni uwezo wa kuona lyrics kuendana na muziki unaosikiliza.
Feature hii ilikuwa inafanyiwa majaribio katika baadhi ya nchi, na Leo Spotify imesema itaweka rasmi kwa watumiaji wote...
Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify.
1. #ABoyFromTandale -Diamond Platnumz Streams 30.4M
2. #SoundFromAfrica -Rayvanny Streams 26.2M
3. #DefinationOfLove -Mbosso Streams 3.6M
4. #StoryOfTheAfricanMob -Navy Kenzo Streams 3.3M...
Hizi Ndizo Albums Pamoja Na EP's Zilizo Sikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify
1. Diamond Platnumz – A Boy From Tandale (2018) 30M
2. Rayvanny – The Sound From Africa (2021) 24M
3. Navy Kenzo – Story Of The African Mob (2020) 3M
4. Mbosso – Definition Of Love (2021)...
CEO na Mmiliki wa mtandao wa uuzaji wa nyimbo online (spotify) DANIEL EK anajiandaa kupeleka ofa nyingine ya kuinunua gunners ambayo inakadiriwa kufikia £2bn, ikumbukwe awali alipeleka ofa inayokadiriwa kufika £1.8bn kwa mmiliki wa washika mitutu hao wa london kroenke lakini ofa hiyo ilikataliwa...
Kuna spradsheets za google nazijaza zinahusiana na wasanii wa Africa. Sasa ninahitaji kuaccess their spotify pages naambiwa not available in your country. Kama kuna VPN extension nzuri naomba mtu anisaidie ili niweze kuaccess hizo pages zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.