Mbappe nna mashaka sana na kile kigezo cha timu kubeba makombe kinaweza kikamtoa kwenye reli.Mbappe anachukua mzigo,
Anachukua Mbappe
Ila hata akichukua Kane ni fresh ila naamini Mbappe anaweza kuibuka mshindi kwenye hiyo tuzo.
Ni sahihi.Mbappe nna mashaka sana na kile kigezo cha timu kubeba makombe kinaweza kikamtoa kwenye reli.
Naona Harry Kane kama ni favorite zaidi kuliko Mbappe na Yamal.
Ngoja tuone itakavyokuwa.
Kwahiyo ninyi wote pamoja bibi zenu mnaamini tatizo la Real Madrid ni Vini tu kama ulivyosema?
Hivi tuliyokuwa tunawapigeni Tano mlikuwa mnajisikiaje?Asante , Nimeamka saa 6 mchana now
Mimi ni shabiki kindakindaki tu wa Real Madrid tangu 2009, ila sipendi kujilisha upepo.
Watu wameathiriwa na ushabiki wa Simba na Yanga kiasi kwamba kila jambo wanalitazama kwa hisia zaidi.
Ila ukweli ni kwamba ile timu bado ni unga sana tu, na ina matatizo karibu kila sehemu, si ile Real Madrid tuliyoizoea. Akina Arsenal na PSG ndio wenye uwezo sahihi wa kutuonesha uhalisia wa matatizo hayo. Hata hao Barca wamekuwa na siku mbaya tu, ndio maana ushindi kwa Real umekuja kama suprise fulani.
Tuzo za kiwakiMbappe hawezi beba sababu makombe counts hata kama ni asilimia ndogo. Mbappe kaondoka kapa.
Mwaka wa WC, WC inapewa uzito, Yamal could've had a slum dunk kama angefanya vizuri hata kidogo WC ila alipotea kama kawaida yaka kwenye match za msingi. Alibeba WC nevertheless.
Kane alikiwasha na alibeba ndoo at club level so nampa yeye asilimia kubwa. Mbappe no way.
Tuzo za kiwaki
Individual performance inahusina nini na mafanikio ya timu?
Hii tuzo kama atakosa Mbappe basi mtu sahihi ni Harry Kane, kwanza yuko very mature hakuwa na muda wa kampeni kama Mbappe na Lamine jinsi walivyokuwa wakijinadi.
Lakini kumpa Lamine Yamal itakuwa ni biggest Robbery kuliko ile ya 2010 aliyoifanya Baba yake.
Yes dogo ana ujinga na mdomo mdomo fulani.Ni sahihi.
Ila yote dua tu, isipokuwa Lamine tu asichukue. Kwanza akichukua itampumbaza zaidi. Akose ajifunze kubehave na kufuata ile discipline ya CR7 na LM10 akae sawa, maana watu tunatamani kuona vijana wanaotisha kama hiyo era ya wawili iliyoisha, sasa dogo yupo kwenye njia nzuri ila ujinga mwingi!
Sisi tumekuwa tukisema haya haya ambayo wewe umeyasema ila mmekuwa mkituita haters.Yes dogo ana ujinga na mdomo mdomo fulani.
Nafkiri umri na malezi pia yanachangia.
Japo ni pure talent ila ana mambo mengi sana ya nje ya uwanja ikiwamo kupenda mishangazi ambayo naona inamuhaeibia kuliko kumjenga.
Labda akikua ataacha.
Binafsi siwezi kuwa mnafki nataka dogo achukue japo najua kwenye uhalisia haiwezekani.
Mbappe au Kane kwangu sawa tu japo nataka Mbappe zaidi kuliko kane kwa sababu ya rekodi za la liga.
Sema kipengele hapo kwenye makombe ndio pananitia mashaka.
Yamal hata asipobeba sasa in future akitulia atabeba tu talent ipo.
Kwa Yamal sidhani kama atapewa.Lakini kumpa Lamine Yamal itakuwa ni biggest Robbery kuliko ile ya 2010 aliyoifanya Baba yake.
Ndio, huyo dogo anahitaji kutuliza kichwa sana. Uzuri ana case study ya maana kabisa ya CR7&LM10. Akitulia hizo tuzo zitamiminika tu zenyewe mbeleni, si kuhangaika kubebelea familia nzima na kuandaa party kwa tuzo za kusubiri bahati nasibu.Yes dogo ana ujinga na mdomo mdomo fulani.
Nafkiri umri na malezi pia yanachangia.
Japo ni pure talent ila ana mambo mengi sana ya nje ya uwanja ikiwamo kupenda mishangazi ambayo naona inamuhaeibia kuliko kumjenga.
Labda akikua ataacha.
Binafsi siwezi kuwa mnafki nataka dogo achukue japo najua kwenye uhalisia haiwezekani.
Mbappe au Kane kwangu sawa tu japo nataka Mbappe zaidi kuliko kane kwa sababu ya rekodi za la liga.
Sema kipengele hapo kwenye makombe ndio pananitia mashaka.
Yamal hata asipobeba sasa in future akitulia atabeba tu talent ipo.
Hapana sidhani kama hiyo ni sababu ya kufungwa.Sisi tumekuwa tukisema haya haya ambayo wewe umeyasema ila mmekuwa mkituita haters.
Utofauti wako na sisi ni nyakati tu. Ni muda gani ambapo wewe unaongia ukweli ni baada ya kufungwa.
Wakati sisi tunaweza kuongea ukweli huo hata kwenye game ambayo mmeshinda ila bahati mbaya huo ni wakati ambao ni vigumu sisi kueleweka.
Bata na anapenda ku flex.Hapana sidhani kama hiyo ni sababu ya kufungwa.
Kuna vitu uwa naviona vipo nje sana ya mambo ya kimpira ukiviendekeza hutoboi.
Kina Messi na CR7 tunawaimba mpaka leo japo ni wakubwa ki umri ni kwa sababu ya nidhamu ya nje ya uwanja.
Dogo kwenye mishangazi anazingua sema hatuwezi kumfanya chochote au kumpangia.
Hata baba ake alipomuonya kuhusu mishangazi akaishia kula block na kufungiwa vioo.
Dogo ni talent sema nguvu ya ziada isipotumika anaweza kuishia vibaya.
Natumai akikua ataacha.
Waache jamaa zetu nao wainojoi kwa kutufunga.Hivi Barcelona angeshinda huu Uzi ingekuwa mrefu hivi?
Amakweli Kibanga kampiga mkoloni hadi imekuwa gumzo.
Cc hydroxo.