adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Mpira haujui focus na bage zako tu 😆Dogo Haya bana
Mpira haujui focus na bage zako tu 😆Dogo Haya bana
MKodini aje kuwasaidia 😅Usimsahau maeda mchaga
Eti ila huyo kobazi🤣😂Sijawahi kumuona Arda Guller akicheza ndio kwanza Leo , ila huyo kobazi ni pure talent dogo akishika mpira tu lazima uone impact golini
Leo hamjashangilia kama msimu ulioisha mliweka mpaka duara.Na Ballon d'Or baadaye tunaichukua
Ijayo ipi mzee 😅 kunywa mbege nalipa mimiMechi ijayo tunawapiga kama ngoma ya mwanamalundi.