adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Aliyofanya Jude ndio maamuzi ya hovyo zaidi kufanyika tokea mechi ianzeBellingham bonge la fala,two against one anashindwa kumpasia Mbape yupo free.
Aliyofanya Jude ndio maamuzi ya hovyo zaidi kufanyika tokea mechi ianzeBellingham bonge la fala,two against one anashindwa kumpasia Mbape yupo free.
Kumbe anatabia ya uchoyo ?Sio asili yake ya uchoyo
Hii mechi ni mbichi kinoma.
Kwa nini ?Tufungwe na wote lakini sio Pedri aisee
Mchezaji yeyote lazima apige chini kuchukukia hata ikiwa makusudi au uzembe wa waziHapana ila ali rush tu ndio maana hata yeye mwenyewe alipiga kibao chini ishara ya kujutia kuwa ni mistake amefanya
cocastic tukishinda hii tafuta pa kujificha 😹😂Ikitokea mkafungwa utanikoma I'm cooking tooo much Vawulence for bantering
View attachment 3698492