Hapana juzi ilikua UEFA na psgNikadhani ile mechi ya juzi.
Utavaa njumu mwenyewe ila kuna kina dalili ya mourihno kuungana na mang'obaChini ya goli 3 sishangiliiView attachment 3698573
Siku hizi ni kama barca na Madrid wanakutana mara kwa mara kwa sababu watu hawasubiri kwa hamu kama kipindi kile.Hapana juzi ilikua UEFA na psg
Mashindano ni mengi sana,Siku hizi ni kama barca na Madrid wanakutana mara kwa mara kwa sababu watu hawasubiri kwa hamu kama kipindi kile.
We sio shabiki wa mpira.Mhhh hivi, ni mimi ndio nazeeka au el classico Kila siku, hawa si wamecheza juzi tu Barca akashinda na leo tena wanacheza, au mambo ya kuwapiga watu hela
Madrid anakufa si chini ya 4.Kwa kosi hili......mbona kama tatu nilizotabiri ni ndogo.
Naziona 5 fulani hivii na manyanyaso mengiView attachment 3698586
Pia umri unapozidi kusonga mtu anakosa ile hamu ya kusubiri kwa hamu hizi mechi, kingine ni uweano wa vikosi vya timu hizi. Mmoja akiwa chini sana amsha amsha inapotea.Mashindano ni mengi sana,
FactPia umri unapozidi kusonga mtu anakosa ile hamu ya kusubiri kwa hamu hizi mechi, kingine ni uweano wa vikosi vya timu hizi. Mmoja akiwa chini sana amsha amsha inapotea.
Furaha yako ya Simba inaenda kupotea hapa ktk hii game.