Wale ni PSG mkuu.Mhhh hivi, ni mimi ndio nazeeka au el classico Kila siku, hawa si wamecheza juzi tu Barca akashinda na leo tena wanacheza, au mambo ya kuwapiga watu hela
Hapana namanisha el classico imechezwa hivi karibuni Barca akashinda, Jose Mourinho akiwa kochaWale ni PSG mkuu.
Hamna mkuu juzitu wamecheza chini ya Mourinho na leo tena wange subiri hata decemberFanya umueleweshe msanii wako alexido huko,derby zinamchanganya🤣🤣
PSG ileMhhh hivi, ni mimi ndio nazeeka au el classico Kila siku, hawa si wamecheza juzi tu Barca akashinda na leo tena wanacheza, au mambo ya kuwapiga watu hela
Basi nataka kukuuliza swali tang Mourinho achaguliwe real msimu huu hajacheza na Barca?PSG ile
Nimeona hapo AXIOM APEX VERBOSE ana uwezo mkubwa wa kukuelewesha taratibu kabisa Hadi ukaelewa,ndio Maana nimemwita aokoe jahazi!!!Hamna mkuu juzitu wamecheza chini ya Mourinho na leo tena wange subiri hata december
Sawa mkuu huenda kumbukumbu zangu haziko sawaNimeona hapo AXIOM APEX VERBOSE ana uwezo mkubwa wa kukuelewesha taratibu kabisa Hadi ukaelewa,ndio Maana nimemwita aokoe jahazi!!!
Nikadhani ile mechi ya juzi.Hapana namanisha el classico imechezwa hivi karibuni Barca akashinda, Jose Mourinho akiwa kocha