Nashauri TANESCO WAZIME UMEME JUMAMOSI USIKU, J2 WAUWASHE ILI TUPATE KULALA

Nashauri TANESCO WAZIME UMEME JUMAMOSI USIKU, J2 WAUWASHE ILI TUPATE KULALA

Hii kwa sababu baadhi ya makanisa Jumamosi usiku hukesha na kutufanya tukose usingizi
Habari ndugu mteja, pole kwa changamoto hiyo.

Kwa upande wetu ombi lako siyo rahisi. Hivyo tunakushauri ushirikishe ofisi yako ya serikali kuona namna ya kuweza kupunguza changamoto hiyo.

Asante.^FL
 
Back
Top Bottom