Nimeambiwa niwe naosha vyombo baada ya chakula cha Usiku. Je wako sawa au wanaionea

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,455
Reaction score
5,134
Nimeitoa sehemu.

Binti anakaribia kuolewa hivi karibuni, kungwi wake kamwambia kuwa inabidi awe msafi sana hapo kwenye nyumba yake, moja ya kitu alichomwambia ni kuhakikisha jiko lina kuwa safi na lenye mpangilio mzuri,

Ahakikishe hakuna chombo kichafu kinakuwepo jikoni muda wowote hata usiku akimaliza kula aoshe vyombo kwanza na kudeki jiko kisha ndio ajiandae kulala.

Hoja yake ni kuwa anahisi mafunzo kama ya kumuonea sababu kwao alizoea wanakula wanalala vyombo wanaosha asubuhi.
 
Jiko linalozungumziwa hapo ni kipusa, na ahakakishe baada ya kula aoshe vyombo nini hujaelewa hapo
 
Hayo ni mafundisho mazuri sana! Binti anatayarishwa kuwa Mama wa nyumba!
Ndivyo Mama zetu walivyofundishwa.
Sema kwa kizazi cha Gen Z watamwona au ataona kama anaonewa.
Nyumba ni mwanamke! Sifa ya kwanza ya mwanamke katika nyumba ni kupika chakula kizuri na kufanya usafi.
 
Nimeitoa sehemu.

Binti anakaribia kuolewa hivi karibuni, kungwi wake kamwambia kuwa inabidi awe msafi sana hapo kwenye nyumba yake, moja ya kitu alichomwambia ni kuhakikisha jiko lina kuwa safi na lenye mpangilio mzuri,

Ahakikishe hakuna chombo kichafu kinakuwepo jikoni muda wowote hata usiku akimaliza kula aoshe vyombo kwanza na kudeki jiko kisha ndio ajiandae kulala.

Hoja yake ni kuwa anahisi mafunzo kama ya kumuonea sababu kwao alizoea wanakula wanalala vyombo wanaosha asubuhi.
Kumfunda zuzu ni kupoteza muda tu.
 
Huyo binti ni kilaza sana.
 
Back
Top Bottom