Shilole nini kimekupata mama au siku hizi unapika chakula kibovu au ndo Yale Yale badala ya kuweka juhudi zaidi kwenye biashara Yako ww umeweka juhudi ya kuwa mpiga vigelegele mashuhuri wa serikali ya mama Samia ukisubiria kuteuliwa kwenye nyadhifa mbali mbali?
Watu walivyochoma mgahawa wako...
⚖️ MWABUKUSI: KUGOMA KULA MAHABUSU NI KOSA KISHERIA
“Kugoma kula wakati chakula kinapatikana mahabusu ni kosa kisheria chini ya Kifungu cha 123 cha Makosa ya Uhaini.” — Adv. Mwabukusi, Rais wa TLS.
📌 Kauli hii yazua mjadala kuhusu haki na wajibu wa wafungwa na mahabusu.
🔜Kuuzuia mwili usipate...
My friends, ladies and gentlemen,
lile zoezi na ule uamuzi wa kiuwendawazimu, wa kuwaza, kuamua na kutenda mambo yanayo muathiri na kumdhuru mwendawazimu mwenyewe linaanza rasmi leo.
Kama tulivyo shuhudia huko nyuma wafuata mkumbo, watu wazima wenye heshima na familia kabisa, wakikubali kubebwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Lissu asibembelezwe hata kidogo Yaani tena ikiwezekana asipewe kabisa chakula kama hataki kula ili kupunguza na kuondoa usumbufu wa kutembea kumbembeleza ili ale chakula . Yeye kama hali na hataki kula basi aaachwe akae hivyo hivyo bila kubembelezwa kwa namna yoyote...
Kwasababu kwa kawaida,
mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe.
Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
TANZANIA YAZALISHA CHAKULA KINACHOZIDI MAHITAJI YAKE KWA ASILIMIA 33
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Tanzania inazalisha chakula kinachozidi mahitaji yake kwa takribani asilimia 33, ikiwa na ziada ya zaidi ya tani milioni 6.6 inayosaidia kukidhi mahitaji ya nchi jirani.
Amesema hayo...
DKT. MWIGULU: USALAMA WA CHAKULA NI USALAMA WA TAIFA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema usalama wa chakula ni msingi wa usalama wa taifa na uthabiti wa uchumi. Amesisitiza kuwa wakulima wawezeshwe kupata mitaji, teknolojia, pembejeo bora na masoko ili kuimarisha uzalishaji.
Amesema...
Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili.
"Hayo ameyaeleza...
Nimeitoa sehemu.
Binti anakaribia kuolewa hivi karibuni, kungwi wake kamwambia kuwa inabidi awe msafi sana hapo kwenye nyumba yake, moja ya kitu alichomwambia ni kuhakikisha jiko lina kuwa safi na lenye mpangilio mzuri,
Ahakikishe hakuna chombo kichafu kinakuwepo jikoni muda wowote hata usiku...
Unaagiza chips mayai muuzaji anakuwekea anakujazia kachumbari, tomato, chili sauce ya kiwandani, pilipili, chumvi, malimao na kabichi mbichi kwenye sahani moja vyote bila hata kukuuliza kama unatumia unaanza kuchambua kutupa usivyokula
Sio ustaarabu
Akiwa na uzoefu wa mapishi wa miaka 15, mpishi kutoka Tanzania Zanzibar Salum Ali Khatib alifikiri kwamba ana uelewa wa kutosha kuhusu mapishi. Lakini kukutana kwake na falsafa ya chakula tiba cha jadi cha Kichina kulifungua fursa mpya kabisa kwake, kwamba chakula kinaweza kupikwa si kwa ajili...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inauchukulia usalama wa chakula kuwa sehemu muhimu ya usalama wa taifa na msingi wa kudumisha uthabiti wa uchumi.
Amesema upatikanaji wa chakula na lishe ya uhakika una mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya wananchi na kuiwezesha Serikali...
Mmoja amefariki dunia na wengine 41 kulazwa hospitalini kwa matibabu baada ya kusadikiwa kula chakula chenye sumu mkoani Singida.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Matride Kuyeko amesema mtoto mwenye miaka 13, Ridhiwan Omari alifariki dunia wakati anapatiwa matibabu katika zahanati ya Moyo wa...
Ni nini hasa kinafanya na kupelekea maboga na mbegu zake, yasiwe na thamani wala umuhimu sana vijijini na yawe na thamani sana mijini?
Na vijijini,
ni watu wachache sana hutumia maboga kama chakula, na mbegu za maboga kama miongoni mwa mboga za kula na ugali, mathalani unaweza kuandaliwa ugali...
Mtu akitusua vipesa vyake kama vya kina Wicknell anakuja kutupigia makelele oooh Mimi Mkulima, Niko Manyara namlima kashamba ya Mahindi.
Basi mwaka Jana nikajichanganya nikiwa Bagamoyo huku Karibu na Tanga wanapata........
Nikalima mahindi, nimechanganya na Elimu yangu na uzoefu kutokankwa...
Huwezi kutenganisha katiba na maisha ya watu, huwezi kuitenganisha katiba na uchumi wa mtu, ajira ya mtu, afya ya mtu, elimu ya mtu.
Swala muhimu si tu “katiba inaleta chakula” bali pia katiba inaweza kuathiri mazingira yanayowezesha watu kupata chakula, kazi na huduma mbalimbali.
Katiba ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.