Tanzania yazalisha chakula kinachozidi mahitaji yake kwa asilimia 33

Tanzania yazalisha chakula kinachozidi mahitaji yake kwa asilimia 33

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
TANZANIA YAZALISHA CHAKULA KINACHOZIDI MAHITAJI YAKE KWA ASILIMIA 33

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Tanzania inazalisha chakula kinachozidi mahitaji yake kwa takribani asilimia 33, ikiwa na ziada ya zaidi ya tani milioni 6.6 inayosaidia kukidhi mahitaji ya nchi jirani.

Amesema hayo Oktoba 22, 2026, alipohutubia Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Marekani. Ameeleza kuwa uwekezaji wa Serikali katika kilimo umechangia mafanikio hayo.
 
Attachments

  • VID-20261023-WA0379.mp4
    51.2 MB

Samia alitqngazwa kupata kura 31m, Elnino itaanza mwishoni mwa September, na kufikia October mvua itakuwa nyingi sana hadi ratiba za shule zikabadilishwa. Amini taarifa za serekali kwa ujinga wako
 
TANZANIA YAZALISHA CHAKULA KINACHOZIDI MAHITAJI YAKE KWA ASILIMIA 33

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Tanzania inazalisha chakula kinachozidi mahitaji yake kwa takribani asilimia 33, ikiwa na ziada ya zaidi ya tani milioni 6.6 inayosaidia kukidhi mahitaji ya nchi jirani.

Amesema hayo Oktoba 22, 2026, alipohutubia Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Marekani. Ameeleza kuwa uwekezaji wa Serikali katika kilimo umechangia mafanikio hayo.
13 August 2026

Kenya’s Maize Shortfall: Can Tanzania Fill the Gap? | African Grains – 13 Aug 2026

View: https://m.youtube.com/watch?v=max-qOGIHyA

Tanzania could soon become Kenya’s maize lifeline.Welcome to this week’s African Grain Market Overview.

This week, Jacques Pienaar takes a closer look at Tanzania’s maize market and what Kenya’s sharply reduced crop expectations could mean for regional grain trade.With Kenya potentially needing to import more than 1.5 million tons of maize next year, Tanzania could see export demand surge and domestic maize prices strengthen.But there is a catch.

Cheaper deep-sea imports, particularly from Ukraine, could ultimately place a ceiling on how far Tanzanian maize prices can rise.So, could Tanzania become one of the biggest beneficiaries of Kenya’s maize shortfall — or will global imports limit the upside?
Timelines:
00:00 Introduction
01:34 Markets
02:01 Tanzania/Kenya maize situation
03:20 Tanzania maize balance sheet
04:56 Tanzania maize prices

This week’s African Grain Market Overview is proudly brought to you by Collateral Management International, De Heus and Zimmatic.
Source : Agri intelligence Africa
 
Ugali maharage? Inawezekana. Vipi maziwa, mayai na nyama. Vyakula vya kupata umami
 
23 October 2026
Des Moines, Iowa, USA

World Food Prize to Celebrate 40th Anniversary with Star-Studded 2026 Norman E. Borlaug International Dialogue​

Norman E. Borlaug 2026 (Borlaug Dialogue 2026), Des Moines, US

MWIGULU NCHEMBA - TANZANIA PRODUCES FOOD THAT EXCEEDS ITS NEEDS BY 33 PER CENT

View: https://m.youtube.com/watch?v=ehu-oz7Pf1s
Prime Minister, Dr. Mwigulu Lameck Nchemba, has said that Tanzania produces food that exceeds its needs by about 33 percent, with a surplus of more than 6.6 million tons that helps meet the needs of neighboring countries.

He said this when he addressed the Norman E. Borlaug International Dialogue (Borlaug Dialogue), in Des Moines, United States, and explained that the Government's investment in agriculture has contributed to this success.

In another step, Prime Minister Nchemba said that food security is the basis of national security and economic stability and that farmers should be enabled to access capital, technology, quality inputs and markets to enhance production.

WHO IS WHO : The Dialogue featured high-level speakers, including:

Hon. Mwigulu Nchemba, Prime Minister of Tanzania

H.S.H. Princess Tatjana of Liechtenstein, Chairwoman, Supervisory Board of the Liechtenstein Group

Hon. Ibrokhim Abdurakhmonov, Minister of Agriculture, Republic of Uzbekistan & 2026 Top Agri-food Pioneer

Hon. J. Alexander Nuetah, Minister of Agriculture, Republic of Liberia

Hon. Eric Opoku, Minister of Food and Agriculture, Republic of Ghana

Hon. Akinwumi Adesina, former President, African Development Bank & 2017 World Food Prize Laureate

QU Dongyu, Director-General, UN Food and Agriculture Organization (FAO)

Hon. Gérardine Mukeshimana, Vice-President, UN’s International Fund for Agricultural Development (IFAD)

Meghan Hanson, Deputy Assistant Secretary, Bureau of Disaster and Humanitarian Response, U.S. Department of State

Malala Yousafzai, education activist and Nobel Peace Prize Laureate

Huub Lelieveld, 2026 World Food Prize Laureate & Founder, Global Harmonization Initiative

Hon. Tom Vilsack, CEO, World Food Prize Foundation & former U.S. Secretary of Agriculture

Dr. Rajiv Shah, President, The Rockefeller Foundation

Martin Sheen, Award-winning Stage and Film Actor, Humanitarian

Nicholas Offerman, Actor, Author, Humorist and Woodworker

Cary Fowler, 2024 World Food Prize Laureate & former U.S. Special Envoy for Global Food Security

Muhammad Ibrahim, Director General, Inter-American Institute for Cooperation on Agriculture (IICA)

Roger Thurow, Journalist and Author

Judd O’Connor, Executive Vice President, Seed Business Unit at Corteva Agriscience

Tej Dhawan, Managing Director at Plains Angels and 2946 Ventures

Travis Frey, Chief Technology Officer at Pivot Bio

Edgar Sandoval, President and Chief Executive Officer at World Vision

WHY: This year’s Dialogue 2026 honors the 40th anniversary of the World Food Prize. The event is expected to attract over 1,500 participants from 60+ countries, representing more than 600 organizations across governments, NGOs, businesses and academia.
 
Sasa nampa Mwigulu jukumu la kuzunguka 'popote Duniani' kutafuta soko la hiyo 33%.
Aende Kenya aende Sudani ya kusini na kwenye nchi yeyote Duniani yenye uhitaji wa mahindi kutafuta soko.
Hivi sasa wakulima wako wanamenyana na NFRA kuhusu bei za mahindi.
Sitaki kumsikia Mwigulu anaongea kuhusu jambo lolote mpaka atakapohakikisha wakulima wa mahindi wanapata bei za kuridhisha.
Pia ajitahidi kuhakikisha sehemu ya wakulima wa mahindi wanageukia kwenye kilimo cha ufuta katika mikoa inayostawi ili kupunguza uzalishaji wa mahindi yenye bei ndogo na kugeukia ufuta wenye bei nzuri kwa misimu inayofuata.
 
TANZANIA YAZALISHA CHAKULA KINACHOZIDI MAHITAJI YAKE KWA ASILIMIA 33

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Tanzania inazalisha chakula kinachozidi mahitaji yake kwa takribani asilimia 33, ikiwa na ziada ya zaidi ya tani milioni 6.6 inayosaidia kukidhi mahitaji ya nchi jirani.

Amesema hayo Oktoba 22, 2026, alipohutubia Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Marekani. Ameeleza kuwa uwekezaji wa Serikali katika kilimo umechangia mafanikio hayo.
Nautuambie hizi nì takŵimu za n̈bs.Nrfa.ccm.aùuvccm.sirikaĺi ana chawa ccm?
 
Back
Top Bottom