Hidden Diamond
JF-Expert Member
- Jan 31, 2024
- 260
- 481
Shilole nini kimekupata mama au siku hizi unapika chakula kibovu au ndo Yale Yale badala ya kuweka juhudi zaidi kwenye biashara Yako ww umeweka juhudi ya kuwa mpiga vigelegele mashuhuri wa serikali ya mama Samia ukisubiria kuteuliwa kwenye nyadhifa mbali mbali?
Watu walivyochoma mgahawa wako na kuharibu kipindi cha oktoba 29 waliiua na misukule Yako ndani daah nasikitika kwa kweli sasa hivi aslay mihogo,kisinia restaurant na wauza migahawa wengine wamekuficha sana usikiki Tena mamdogo pole kwa kweli siasa kweli imekuwa kimbilio la mabongo lala mpaka yanasahau shughuli zao.Uzi huu sijamtaja mtu zaidi ya shilole kama kunitukana anitukane yeye uvCcm(umoja wa vijana wenye matope kichwani naombeni mkae mbali).