Huyu Baba Askofu, tunaomba Serikali impatie Ulinzi! Usiku na Mchana

Huyu Baba Askofu, tunaomba Serikali impatie Ulinzi! Usiku na Mchana

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
18,223
Reaction score
31,465
Maneno ya Askofu

"Haki huinua taifa... Taifa lolote ili liendelee linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa Rais wa nchi, huyo ndiye 'right maker' wa haki."

"Taifa limetenda dhambi mbaya. Yaani tuko kwenye dhambi mbaya. Mungu anasema, 'Haki huinua taifa'... Lazima asimame kwa haki, aamue kwa haki, awe mwanamke, awe mwanaume, akisema haki kwanza, taifa linakuwa na amani."

"Wamemwaga damu za watu, wameua... Kwa nini ninyi mmawaza kuua tu? Hamna vitu vingine kichwani? Mnawaza kuua kwa sababu ni zao la Ibilisi... Leo hii nchi imekaa yaani kwenda kuua mtu imekuwa ndio biashara? Hapana!"

"Ili watu wawajibike, lazima wawe na hofu ya dhambi... Mwinyi amekuwa mlea wetu sana... Kila wakati alitulika viongozi wa dini 'inachili iende, ninyi viongozi ni watu muhimu sana, waambieni wanasiasa watende haki'... Mtaona wote wasipotubu, mtaona cha mtema kuni."

 
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Back
Top Bottom