Huyu Baba Askofu, tunaomba Serikali impatie Ulinzi! Usiku na Mchana

Huyu Baba Askofu, tunaomba Serikali impatie Ulinzi! Usiku na Mchana

Anaitwa William Mwamalanga, siyo mtumishi wa Mungu bali anavaa tu makanzu na kola za wachungaji wa kipentekoste kutapeli watu
siyo mtumishi wa Mungu? unapata wapi ujasiri wa kusema hivyo, alikutapeli nini. Kwa hiyo mtumishi wa Mungu ni Mwamposa, sio?
 
Kuibebesha lawama Serikali ni kupotosha umma wetu!!!

Tunakumbuka hata ICC walikuja mbio mbio lkn baada ya kujua nini kimefanywa na wale wanaitwa kinyume cha Sheria ni Waandamanaji wamechoma miundombinu mingi vituo vya mafuta miundombinu ya watu Binafsi
Kuwauwa polisi 16 ❗

ICC wamebaki kimyaa mana yote yametendeka !!!

yanaunda makosa makubwa mawili!!!

yenye kuitaji nguvu upande wapili kuzuiya kuendelea
kwake✍️
 
Kwasasa Viongozi wa Dini wangetulia tume mpya chini ya Majaji kutokea nje ya Tanzania waje na report yao
tujue mbivu na mbichi !!

MJAJI Kama watasema Serikali ndio sababu kuu basi Serikali itabidi wawajibike!!!

MAJAJI wakisema Wapinzani ndio wawajibike basi Wapinzani watawajibika!!

wakisema makundi yasio ya kiserikali !!
kama media au NGO nk nawao lazima wawajibike✍️
 
Kama mmemkataa Jaji Chande nisawa!!!

Sasa Rais kachukuwa kwenye Tume mpya MAJAJI kutokea nje ya Tanzania

Na tayali Tume ipo kazini

Viongozi wadini wangekuwa na busara watoe muda
kuwaachia MAJAJI wafanye
kazi yao !!
Na nawao waende kusema kile wanacho kwa wale MAJAJI
badala ya kuongea na waumini wasioweza kusaidia chochote !!!
 
Anaitwa William Mwamalanga kutoka kijiji cha Isansa huko Mbeya. Ni TAPELI tu, siyo mchungaji wala siyo Askofu wa Kanisa lolote hapa nchini.

Naye hiyo ndiyo namna yake ya kujipatia riziki. Anashona nguo za kiaskofu au kichungaji na kupanda kwenye makujwaa kutoa matamko. Huyu na Mchungaji Mashimo wa Mbezi Bus stand hawana tofauti
Mkuu pamoja yanayoendelea kwenye familia yako hujapata kujifunza kuwa MUNGU anataka ubadilike?Bado una roho chafu ya kishetani?
Hizo fedha haramu uzifurahia zitaishia Ocean road Hospital kutibu Kansa ya mama yako
 
Na Mwaipopo je?:Agakakskagesh::Agakakskagesh:
Busara kumwita Sheikh Mwaipopo sio Mwaipopo

Kiongozi wa Dini ya mwenzio ni Kiongozi wako
mpe heshima yenye hadhi yake !!!!

Hata sisi kina Father Kitima sio viongozi wetu!!!

lkn tunawapa heshima ya kuwaita kwakuanzia na Father Kitima!!

badala ya kuanzia na Kitima peke yake !!!
busara inadumu
machoni ✍️
 
Heshima ya Viongozi wetu wa Dini ipo mikononi mwetu

Tuwape heshima zao
Sababu wote wanawatu wanawaamini na kuwafata!!!!
 
Busara kumwita Sheikh Mwaipopo sio Mwaipopo

Kiongozi wa Dini ya mwenzio ni Kiongozi wako
mpe heshima yenye hadhi yake !!!!

Hata sisi kina Father Kitima sio viongozi wetu!!!

lkn tunawapa heshima ya kuwaita kwakuanzia na Father Kitima!!

badala ya kuanzia na Kitima peke yake !!!
busara inadumu
machoni ✍️
Mwaipopo, Mwaipopo, kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha kuwatahiri watu kwa upanga. hapo je nimepatia?
 
Busara kumwita Sheikh Mwaipopo sio Mwaipopo

Kiongozi wa Dini ya mwenzio ni Kiongozi wako
mpe heshima yenye hadhi yake !!!!

Hata sisi kina Father Kitima sio viongozi wetu!!!

lkn tunawapa heshima ya kuwaita kwakuanzia na Father Kitima!!

badala ya kuanzia na Kitima peke yake !!!
busara inadumu
machoni ✍️
Kitima namwita Dr Kitima, na hata nisipotaja cheo chake huwezi kuona wakatoliki wakitoka povu kama wewe. Kuna masheikh ninaowaheshimu na nitaweka mbele cheo chao kama Sheikh Walid, Mwaipopo kwangu hana tofauti na Mnyakyusa mwenzake Bonface Mwamposa. Wote ni matapeli tu hawana uongozi wowote wa kidni ni Hustlers.
 
siyo mtumishi wa Mungu? unapata wapi ujasiri wa kusema hivyo, alikutapeli nini. Kwa hiyo mtumishi wa Mungu ni Mwamposa, sio?
Namfahamu vizuri wala usinibishie. Huyu anapatikana sana kwenye hii mikutano. Next time ukihudhuria muulize tu akuonyeshe kanisa analo hudumu
 
Mkuu pamoja yanayoendelea kwenye familia yako hujapata kujifunza kuwa MUNGU anataka ubadilike?Bado una roho chafu ya kishetani?
Hizo fedha haramu uzifurahia zitaishia Ocean road Hospital kutibu Kansa ya mama yako
Ziko wapi hizo fedha?
 
Namfahamu vizuri wala usinibishie. Huyu anapatikana sana kwenye hii mikutano. Next time ukihudhuria muulize tu akuonyeshe kanisa analo hudumu
dili na aliyoyasema hapo (content). Wewe una ujasiri wa kuyasema aliyoyasema?
 
Inasemekana baada ya speech ya askofu akatumiwa kikosi cha sa100 cha mauaji na kimemuonya aache kusema ukweli je kunaukweli wadau?
 
Maneno ya Askofu

"Haki huinua taifa... Taifa lolote ili liendelee linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa Rais wa nchi, huyo ndiye 'right maker' wa haki."

"Taifa limetenda dhambi mbaya. Yaani tuko kwenye dhambi mbaya. Mungu anasema, 'Haki huinua taifa'... Lazima asimame kwa haki, aamue kwa haki, awe mwanamke, awe mwanaume, akisema haki kwanza, taifa linakuwa na amani."

"Wamemwaga damu za watu, wameua... Kwa nini ninyi mmawaza kuua tu? Hamna vitu vingine kichwani? Mnawaza kuua kwa sababu ni zao la Ibilisi... Leo hii nchi imekaa yaani kwenda kuua mtu imekuwa ndio biashara? Hapana!"

"Ili watu wawajibike, lazima wawe na hofu ya dhambi... Mwinyi amekuwa mlea wetu sana... Kila wakati alitulika viongozi wa dini 'inachili iende, ninyi viongozi ni watu muhimu sana, waambieni wanasiasa watende haki'... Mtaona wote wasipotubu, mtaona cha mtema kuni."

Mmmmh !
 
Back
Top Bottom