TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Mbona hapo kuna mzee aliyechafukwa? Huyo ndiye mwana au mchawi?Mchawi mpe mwanao akulelee
Mbona hapo kuna mzee aliyechafukwa? Huyo ndiye mwana au mchawi?Mchawi mpe mwanao akulelee
HuelewekiMbona hapo kuna mzee aliyechafukwa? Huyo ndiye mwana au mchawi?
Na Mwaipopo je?Wapo wengi sana wanaostahili ulinzi hata Mwamakula.
Nini kimekushangaza?
Mwanakondoo ameshinda ,tumfuate.
08-Oct-2026 14:50 Minjingu


Mwaipopo ni Askofu wa wapi?Na Mwaipopo je?![]()
Weeeee!!Ashukuru Mungu …the dog is on the leash.
Amen.hawatomweza. Mungu wa mbinguni Yuko naye
Kasema kuua watu imekuwa biashara,wanawezaHata wakimuua tushamsikia
Anaitwa William Mwamalanga kutoka kijiji cha Isansa huko Mbeya. Ni TAPELI tu, siyo mchungaji wala siyo Askofu wa Kanisa lolote hapa nchini.
Kama mtu atanionyesha kanisa lake au muumini wake basi niko tayari kupigwa LIFE BAN ya humu JF.Baba askofu barikiwa Sana,na namuomba Mungu awalaani waovu wote,isipokuwa watakao Fanya toba ya dhati.
Ila ujumbe umefika ulikotakiwa kufikaAnaitwa William Mwamalanga kutoka kijiji cha Isansa huko Mbeya. Ni TAPELI tu, siyo mchungaji wala siyo Askofu wa Kanisa lolote hapa nchini.
Naye hiyo ndiyo namna yake ya kujipatia riziki. Anashona nguo za kiaskofu au kichungaji na kupanda kwenye makujwaa kutoa matamko. Huyu na Mchungaji Mashimo wa Mbezi Bus stand hawana tofauti
Anaitwa William Mwamalanga, siyo mtumishi wa Mungu bali anavaa tu makanzu na kola za wachungaji wa kipentekoste kutapeli watuanaitwa nani huyu mtumishi. tungekuwa nao 20 wa hivi angalau Mungu Angetusaidia
Akisema ukweli ni TAPELI!Anaitwa William Mwamalanga, siyo mtumishi wa Mungu bali anavaa tu makanzu na kola za wachungaji wa kipentekoste kutapeli watu
Siyo mkatoliki huyu na wala hajawahi. Ni mzaliwa wa Isannsa Mbozi Mbeya. Alikuwa askari magereza na alikuwa muumini wa Moravian. Baada ya hapo akawa mfuasi wa Pentekoste ya Kokobe wala siyo mchungajiHuyu ni mkatoliki wa ukweli
Mimi nimejikita kwenye kumuelezea status yake kuwa ni TAPELI ila siyo AskofuIla ujumbe umefika ulikotakiwa kufika
Umejuaje ni TAPELI kama wewe na sio Askofu?Mimi nimejikita kwenye kumuelezea status yake kuwa ni TAPELI ila siyo Askofu