gerezani

Gerezani is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward has a total population of 7,276.

View More On Wikipedia.org
  1. Ndagullachrles

    Moshi: Mwenge wakwamisha mahabusu kupelekwa Mahakamani

    Leo mahabusu wenye kesi mbalimbali kwenye mahakamani hasa Moshi Mjini, hawajafikishwa mahakamani kutokana na uhaba wa askari. Askari wengi wapo kwenye shughuli ya uwashwaji wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa unaofanyika kwenye uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Mgeni rasmi kwenye tukio Hilo ni...
  2. JanguKamaJangu

    Hiii ni Kariakoo Gerezani ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ni aibu kwa kweli

    Nimerekodi video hii jana asubuhi Machi 20, 2024 nilipokuwa napita mitaa ya Kariakoo, hapa ni jirani na kilipo Kituo cha Mwendokasi pale Gerezani, kama unavyoona mwenyewe hali ya barabara si nzuri. Magari na watu wote kwa pamoja wanapata changamoto ya kupita, mvua ikinyesha hali ndio inakuwa...
  3. Chizi Maarifa

    Kwa haya Majibu ya Israel, Watafungwa miaka mingi sana hawa jamaa gerezani

    Ritz ulikuwa unatuletea mwendelezo wa kesi ya kuwafunga israel wote iliyokuwa ikiendelea South Africa? Vipi umepotea tena? Unakata tamaa mapema dogo. Tulisema hakuna kulala. Naona siku hizi umeshalegea kabisa huna moyo tena. Turudi kuliamsha. Malaria 2 nawe umelege legea tena. Shida nini? Gaza...
  4. Expensive life

    Haya mabasi ya mwendo kasi gerezani kimara yana majaribu makali sana

  5. Chachu Ombara

    TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

    Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic. Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 19 kwa makosa yanayochukuliwa kwa kiasi kikubwa kuwa ya kisiasa. Alihamishiwa...
  6. BigBro

    Mwanariadha Pistorius aachiwa huru kutoka gerezani

    Mwanariadha wa zamani wa Olimpiki mwenye ulemavu wa miguu, Oscar Pistorius ameachiwa huru leo kwa msamaha nchini Afrika Kusini baada ya kukaa gerezani kwa takribani miaka 11 kwa kosa la kumuua mpenzi wake, Reeva Steenkamp. Alimpiga mpenzi wake risasi kadhaa kupitia mlango wa bafuni mwaka 2013...
  7. JanguKamaJangu

    Wafungwa waliomaliza kutumikia vifungo vyao kutumia ujuzi waliupata Gerezani kujitegemea

    Serikali imewataka wafungwa watakaomaliza kutumikia vifungo vyao gerezani kutumia ujuzi waliopata kujitengenezea kipato ili kuepuka kujiingiza tena katika uhalifu. Maagizo hayo yametolewa Novemba 20, 2023 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb) Mhe. Jumanne Sagini wakati alipokuwa...
  8. James Hadley Chase

    Mawakili na Wanasheria wafika gerezani kuzungumza na aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kukutwa na nyama ya swala

    Chama Cha Mapinduzi wa Iringa kwa kushirikiana na Mawakili wa TLS pamoja na Wanasheria toka Jumuiya ya Wanawake Taifa kufuatia Tamko la Mwenyekiti Merry Chatanda kuhusu kesi ya mama Maria Ngonda aliyehukumiwa miaka 22 kisa nyama ya swala jopo hilo lilifika gerezani na kuzungumza na mama huyo ili...
  9. BARD AI

    Kiongozi wa Kijeshi na Rais wa zamani wa Guinea atoroshwa Gerezani

    Waziri wa Sheria, Charles Wright, amesema Moussa Dadis Camara akiwa na Wanajeshi wengine wa ngazi za juu wametoroshwa katika Gereza la Central House walilokuwa wamefungwa ikiwa ni baada ya kutokea majibizano ya Risasi kati ya Jeshi na waliofika kumchukua. Camara na wenzake walifikishwa...
  10. Half american

    Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

    Ukweli ni kwamba Winnie alikuwa na wapenzi wengi kipindi mandela yupo gerezani. miezi kadhaa kabla ya mandela kutolewa alikuwa na uhusiano na Dali Mpofu mwanasheria alietofautiana naye miaka 30 ambaye alikuwa katika timu ya wanasheria wa utetezi Aliendeleza uhusiano huo hata baada ya Mandela...
  11. Nyuki Mdogo

    Njia Panda Ya magereza😅😅😅

    Njia za kumpeleka mwanaume JELA ziko nyingi sana😂😂😂
  12. BARD AI

    Mtalaka aliyeghushi umiliki wa ghorofa arejeshwa gerezani

    Mtalaka aliyefungwa jela kwa kughushi umiliki wa ghorofa la wanandoa kisha akapewa dhamana kusubiri rufaa aliyokata, amerejeshwa gerezani kumalizia kifungo. Tuwaha Samson Muze, ambaye alikuwa mtunza fedha wa kampuni ya World Wide Movers, alihukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Dar es...
  13. S

    Mawaziri hawa watano utumishi wao haujatukuka

    Wana Bodi, Kuna Mawaziri 5 ambao sina uhakika sana na rekodi zao katika Utumishi wa Umma hivyo mambo mengi yanayohusu Public Fund hawayajui na wanadhani wakiwa Mawaziri wanaweza kufanya maamuzi yoyote kuhusu fedha za Umma bila kufuata sheria za nchi. 1. Mwigulu Nchemba sijui rekodi yake kama...
  14. Intelligent businessman

    Nife au niende gerezani?

    SIMULIZI; NIFE AU NIENDE GEREZANi MTUNZI:Alli H MWANDISHI: Intelligent businessman SEHEMU YA 01 Ubaridi ulikuwa ukiingia mwilini utadhani nilikuwa nimeingia kwenye Jokofu lakini wala sikujali, nilichokuwa nawaza ni jinsi gani naweza kuwapoteza wanaonikimbiza...
  15. E

    SoC03 Ngoja mimi niendelee kuozea gerezani

    Nakumbuka kipindi chote cha miaka kumi na mitano,nilipokuwa miongoni mwa wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,miswada mingi ya sheria ilipokuwa ikiletwa bungeni tena mingine kwa hati ya dharura, sikutaka kabisa kujihangaisha kuipitia kwa umakini kabla sijashiriki kuipitisha...
  16. Chachu Ombara

    Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda...
  17. Siku Hazifanani

    Tukio hili la leo si la kupuuzia, Mhusika awekwe kiuzuizini, alipe faini ya milioni 2 na kifungo kisichopungua miaka 2

    Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira, Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi...
  18. Ali Nassor Px

    Furaha kutoka Gerezani, huzuni kufika Nyumbani

    Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023). Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika. Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa...
  19. BigTall

    Daladala za Masaki - Gerezani ni chafu, baadhi zina kunguni

    Nina uhakika andiko langu hapa Jamii Forums linaweza kuwafikia watu wengi hasa wenye mamlaka ili ziweze kuchukua hatu. Hapa Dar usafiri wa watu wengi ni Daladala, kina sisi ambao hatuna uwezo wa kununua magari usafiri huo ndio tunaoutegemea kwa kiasi kikubwa/ Kuna daladala zimekuwa na kawaida...
  20. FIKRA NASAHA

    SoC03 Wafungwa kabla ya kutoka gerezani waandaliwe kisaikolojia

    Ni Kupunguza Wimbi la Kurejea Kwenye Uhalifu Kila Mwaka, Tunaposheherekea Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania), Ambaye Pia ni Amiri Jeshi Mkuu, Hutoa Msamaha wa Wafungwa, Kwa Idadi Inayopendekezwa na Magereza, Nchi Nzima Ikiwa Pia...
Back
Top Bottom