gerezani

Gerezani is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward has a total population of 7,276.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    Mara ya kwanza kuingia Gerezani 2017, sikulala hakika Sitosahau

    Ilikuwa 2017 nilipoingia Gerezani kwa mara ya kwanza kwa kosa la kutoa lugha ya kuudhi dhidi ya Rais wa Tanzania kipindi hicho John Pombe Magufuli. Kweli wakuu Nilimtukana Rais wa JMT tena kwa lugha Kali hii ni baada ya Kupata hasira za hapa na pale. Ilikuaje nikamtukana Rais maneno makali...
  2. J

    Serikali yaagiza Wanawake wanaotoka gerezani wapewe mikopo

    Serikali Mkoani Mbeya imeziagiza halmashauri zote za mkoa huo kuwaingiza kwenye mkopo wa asilimia 10 wanawake wote wanaomaliza kutumikia vifungo vyao gerezani ili wautumie ujuzi walioupata kuanzisha shughuli za ujasiriamali. Aidha, imeagiza kuundwa Kamati za Ulinzi na Usalama wa Wanawake na...
  3. Erythrocyte

    Maandalizi ya Ukumbi atakapohutubia Freeman Mbowe kwa mara ya kwanza tangu atoke jela yamekamilika

    Ukumbi huu unaitwa Usambara Hall, uko Mjini Iringa, Hapa ndipo shughuli ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na mabingwa wa shughuli za akina mama BAWACHA itafanyika. Shughuli hii ibatarajiwa kuhutubiwa na Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika...
  4. JanguKamaJangu

    Mbowe katoka gerezani, Tundu Lissu yupo kimya, inashangaza! Ukimya unamaanisha nini? Kwanini Mbowe hajamtaja Lissu katika interview zake?

    Freeman Mbowe kwa sasa ni mtu huru kama ilivyo kwa jina lake, kesi yake ilifutwa na Mahakama Kuu, mmoja wa watu waliokuwa wakipiga kampeni ya kuhoji juu ya kesi aliyofunguliwa Mbowe na wenzake watatu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Lissu alifikia hatua ya kuomba kuonana na Rais...
  5. Kamanda Asiyechoka

    Freeman Mbowe: Nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi nguvu ya vyombo vyao vya dola

    Sikutolewa gerezani kwasababu kuna mtu ananipenda, nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi sana. ======== Freeman Mbowe: Tulianza kama chama kidogo, leo ni chama kikubwa dunia inakitambua hata CCM waliokuwa hawatutambui kupitia kesi hii wametambua kwamba CHADEMA ni jeshi...
  6. B

    Askofu Bagonza: Mbowe ametoka Gerezani lakini hayupo huru

    Na Baba Askofu Bagonza Kalikawe HAYUKO HURU; YUKO NJE YA GEREZA Niwakumbushe? Mwezi Februari 1990, Nelson Mandela akatolewa jela. Akaja Tanzania kushukuru. Tukajipanga na mabango na kushangilia MANDELA IS FREE! Akasimama Kambarage, akasema MANDELA IS NOT FREE, HE IS OUT OF PRISON. Kwa nini...
  7. Mto wa mbu

    Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

    Hope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema. Lema amesema kuna waziri ndani ya serikali ya SSH, alienda gerezani kumtembelea Mbowe, waziri huyo alifanya kikao na Mbowe gerezani, na alimshawishi vitu vifuatavyo. Mama...
  8. dubu

    Dr. Mzuri: Wanaotaka Watoto wa kike wanaojiingiza kwenye Mapenzi wakiwa na Miaka 15 Wafungwe Gerezani wanakosea sana

    Mkurugenzi TAMWA-ZNZ awashangaa wanaotaka mabadiliko ya sheria Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa habari wanawake TAMWA-ZNZ Dkt,Mzuri Issa amesema mtazamo wa baadhi ya wanajamii kutaka watoto wakike wanaobakwa waliofikisha miaka (15) wawe sehemu ya kupata adhabu kisheria ikiwemo kufungwa...
  9. Ferruccio Lamborghini

    Mohamed Said alifungwa wakati wa Nyerere, asamehewa wakati wa Rais Samia

    Usiku wa Februari 24 mwaka 1982 utabaki kwenye kumbukumbu ya kudumu kichwani kwa Mohamed Said (70) kutokana na tukio kubwa lililomkuta siku hiyo na kumfanya akae gerezani kwa miaka 40. Kama angejua kinachokwenda kumtokea siku hiyo huenda angebadilisha mwelekeo, lakini kwa kuwa hakutambua...
  10. Notorious thug

    Ni ngumu sana mtuhumiwa kujinyonga mahabusu au gerezani

    Poleni na majukumu naomba nigusie machache kuhusu hili tukio la mtuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara wa madini kudaiwa kujinyonga akiwa mahabusu. Mahabusu ni chumba au jengo kama bweni ambalo mara nyingi linakua na madirisha mawili kwa juu na mlango mmoja wa chuma mengine mbao...
  11. The Sheriff

    Geronimo Pratt: Kiongozi wa Black Panther na Godfather wa Tupac aliyeishi Tanzania baada ya FBI kumbakikia kesi iliyomweka gerezani miaka miaka 27

    Elmer "Geronimo Ji-Jaga" Pratt Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa Tanzania, basi utakuwa unaikumbuka ngoma kali ya Nako2Nako inayoitwa We Ndiyo Mchizi Wangu Remix (2008) iliyowashirikisha marapa kibao kama vile Fid Q, Geez Mabovu, Babuu, Mwana FA, Temba, Mansu Li n.k Ukiisikiliza vizuri ngoma...
  12. Cathelin

    Gerezani kuna nini maana Mbowe ananawiri kila kukicha

    Wanasema Jela ni sehemu ya Mateso, na tumeona watu waliokaa rumande walivyobadilika Kama sio kudhoofu. Mfano Yusuph Manji, alikonda ndani ya Mwezi, Rugemalira ametoka yuko mnyonge sana, Sabaya sasa hivi amenyongonyea Sana. Lakini kwa Mweshimiwa Mbowe ni tofauti, anatabasamu, anafuraha na...
  13. Notorious thug

    Mambo yanayopeleka wengi gerezani.!

    Katika maisha ya utafutaji huwa tunapitia mambo mengi sana vikwazo,dhuluma,wivu, na mambo kadha wa kadha. Leo nitaeleza mambo mawili yanayotufanya/yatakayotufanya tujikute mwibani,ngombe au ukipenda sema gerezani. Hasira...
  14. Notorious thug

    Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

    Gerezani ni sehemu ngumu sana na isiyoelezeka kwa mambo yaliyopo kule ili kupunguza makali ya gerezani unaweza fanya haya mambo. 1-Mfungwa hachagui gereza ni kweli ila unaeza kuchagua gereza wengi wanapohukumiwa huingia gerezani hapa unaeza kutambua gereza ulilopo ni la...
  15. K

    Mbiwe kutolewa gerezani kwa nguvu ?

    Najiuliza kwa sauti kubwa
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Huu hapa wimbo KAIZARI, uliomtia gerezani mwanasiasa Vitalis Maembe

    https://www.tanzaniaweb.com/TanzaniaHomePage/NewsArchive/Msanii-Vitali-Maembe-Adaiwa-Kukamatwa-na-Polisi-567823
  17. Display Name

    Mwanafunzi wa Darasa la Saba aliyefanya mtihani akiwa Mahabusu afaulu kwa kupata Daraja B

    Licha ya kushikiliwa gerezani kwa tuhuma zinazomkabili, Kunde Gambija Kilulu (15) alikuwa miongoni mwa zaidi ya watahiniwa milioni 1.1 waliofanya mitihani ya darasa la saba na hatimaye kufaulu kwa daraja B. Wakati wanafunzi wenzake wakifanya mitihani hiyo wakiwa katika mazingira ya kawaida...
  18. Sky Eclat

    Mapenzi ya binti kwa baba yake yalisaidia kumtoa baba gerezani

    Ilitokea huko Ufaransa, wakati wa utawala wa Louis XIV, huyu baba alihukumiwa kufia gerezani kwa njaa kosa lake aliiba mkate. Mtoto wake akiyekua ananyonyesha alikwenda kumtembelea baba yake kila siku. Akifika anampa baba yake maziwa yake anyonye. Baada ya miezi minne walishangaa kumuona mzee...
  19. B

    Nyakati zaja, tutakapoamua kumwona Mbowe gerezani hadi uwe na kibali maalum

    WAAFRIKA wamezaliwa na roho ya ajabu sana, wamezaliwa na roho yakuumizwa na mafanikio yako Hadi kufikia mahali kutumia fedha au madaraka kukukandamiza. Kitendo cha viongozi wa dini kusimama na kutamka adharani kwamba Mbowe yupo mahabusu kinyume Cha sheria kwa kesi za kubumba kinawaumiza Sana...
  20. Fundi Madirisha

    Kuna wanachama wa Upinzani 400 gerezani halafu mnasema kuna utulivu?

    Nasikitishwa sana na wanaosema eti Tanzania kuna amani na utulivu wakati wanachama wa chama wa CHADEMA takribani 400 na zaidi wako gerezani kwa kesi mbali mbali za kubambikizia za mauaji na uhujumu uchumi, huo utulivu unatokana na nini? Haikutosha mmeamua kumtupia kesi ya Ugaidi mwenyekiti wao...
Back
Top Bottom