Bila shaka ni AbdulAkiwa mahakamani jana Lissu amesema kuna watu walienda kumtembelea usiku, hakuwataja wala hakusema walikuwa na nia gani, lakini kawashauri kama wanampenda wawe wanafika mahakamani kumsalimia.
View attachment 3662269
Utafika muda mtamuelewa tu. Aliwaumbua pia kwenye lile begi la hela mlilo mpelekea nyumbani kwake kwa msaada wa yule kuwadi wenu.Aache mdomo
kapigwe miti lumumbaAache mdomo
Jizi na lipenda rushwa linachangia bila aibuAache mdomo
Sheria zipo kwa ajili ya kundi la wanyonge wengi ila lile tabaka pendwa haliguswi na sherianight? Sheria za magereza zinasemaje khs kutembelea washtakiwa magerezani
Kwa mtu asie na jambo la kupoteza, ni hatari sana. Na hasa ukute anajua kusimamia anacho aminiHuyu mwamba anawatoa jasho
Ni Mbowe ndio anatumwa kwenda kumtaka ajinyenyekeze ili aachiwe.Au mbowe
Alafu atumie makwapa kuongea?Aache mdomo
kuna prof mmoja alituambia wakati tunasoma kuwa: the laws are there to protect the interests of the rulling class"Sheria zipo kwa ajili ya kundi la wanyonge wengi ila lile tabaka pendwa haliguswi na sheria