Lissu: Msije gerezani usiku kunitembelea njooni mahakamani

Lissu: Msije gerezani usiku kunitembelea njooni mahakamani

night? Sheria za magereza zinasemaje khs kutembelea washtakiwa magerezani
Tanzania kuna sheria kwa watenda maovu? Tangu lini? Ninachojua ni hela yako tu.

Kuna mfungwa fulani kama sio yona, aliwahi kumpigia simu usiku Kikwete alipokuwa Rais. Hadi akahoji simu aliitoa wapi?
 
Njia rahisi ya kummaliza Lissu ni kumshikisha hela na akikubali wanalikisha habari dunia nzima. Sasa kwa mtu mwenye msimamo na akili kama Lissu hiyo ngoma itakuwa ngumu sana
After all , ukikubali kula pesa zao jua ndo mwisho unakaa kama zombi, rushwa huaribu utu wa mtu ,hawa wakina Cheyo, Lipumba and the like mmeona namna wamekua makondoo
 
Nani ana uwezo wa kwenda magereza usiku? Mchana tu ni kimbembe, sembuse usiku? Itakuwa ni wale watu wazee wa mbambamba
 
Endeleeni kumzonga zonga , atawaumbua!!!...huyo kanyooka zaidi ya RULER
 
Back
Top Bottom