magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 14,029
- 34,441
Mzee bado unaamini kwenye utawala wa sheria kwenye uongozi huu?night? Sheria za magereza zinasemaje khs kutembelea washtakiwa magerezani
Mzee bado unaamini kwenye utawala wa sheria kwenye uongozi huu?night? Sheria za magereza zinasemaje khs kutembelea washtakiwa magerezani
sa itakuwajeMzee bado unaamini kwenye utawala wa sheria kwenye uongozi huu?
CCM wameshawapitisha Watanganyika kwenye Point of no return. Ni jambo la muda tu.sa itakuwaje
unadhani ni kwanini ICC wanachelewa kutimiza majukimu yao?CCM wameshawapitisha Watanganyika kwenye Point of no return. Ni jambo la muda tu.
Kwa nn umepanic au ulkua ni ww??Aache mdomo
ili mumuue kama kibuduAache mdomo
Kuna kufanya maridhiano kweli ya kilaghai na Lisu? Mana jamaa ataropoka, du!Akiwa mahakamani jana Lissu amesema kuna watu walienda kumtembelea usiku, hakuwataja wala hakusema walikuwa na nia gani, lakini kawashauri kama wanampenda wawe wanafika mahakamani kumsalimia.
View attachment 3662269
Mmh tutasikia na kuona mengi, Lissu ameshindikana😂Akiwa mahakamani jana Lissu amesema kuna watu walienda kumtembelea usiku, hakuwataja wala hakusema walikuwa na nia gani, lakini kawashauri kama wanampenda wawe wanafika mahakamani kumsalimia.
View attachment 3662269
Lissu hapana kwa kweli Hana mfanoHuyu mwamba anafanya hata tusiopenda siasa tufatilie kuna watu wana influence aisee, kweli karama Kila mtu na yake
Hao wanakuwa ni watu wa Abdul, they do whatever pleases their boss.night? Sheria za magereza zinasemaje khs kutembelea washtakiwa magerezani
So literally Mbowe naye kageuka kuwa wa Abdul....!Ni Mbowe ndio anatumwa kwenda kumtaka ajinyenyekeze ili aachiwe.
huyu mzee atakufa akiwa mdomo wazi. kwake pesa ni kama mfupa kwa fisi!So literally Mbowe naye kageuka kuwa wa Abdul....!
Au mbowe
Sijawahi kuwaamini wachagaHuyo bila shaka ni Mbowe.
Hapo kwenda tu kuongea na Lissu unaweza kuta mangi kavuta bilioni.
Kumeisha Oza ,kanatoa funza mtaronikapigwe miti lumumba
How?So literally Mbowe naye kageuka kuwa wa Abdul....!
HahahaSijawahi kuwaamini wachaga