The Dictator JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 4,475 Reaction score 12,281 Sep 12, 2026 #1 Wale ninaowaona wamejirekebisha nawaachia huru, wale wanaojitahidi kubadilika; nawapunguzia vifungo, wale walioshindikana wananyongwa😁😂😂
Wale ninaowaona wamejirekebisha nawaachia huru, wale wanaojitahidi kubadilika; nawapunguzia vifungo, wale walioshindikana wananyongwa😁😂😂
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,984 Reaction score 51,055 Sep 12, 2026 #2 Kiranga na min -me pia ni miongoni mwa watu wenye wafungwa kibao.
Medecin Platinum Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,836 Reaction score 24,344 Sep 12, 2026 #3 Wengine hapo wamekufa kabisa