"
Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao.
Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
Wengine walevi,
Wengine malaya,
Wengine wana addiction ya nyeto, hadi wanawake pia.
Wengine, wana addiction ya kukesha vibarazani.
Wengine wana addiction ya kazi (workaholic)
In one way or another addiction sio mbaya, it depends where unavuna dopamine zako... Either kwenye vit constructive...
Kinachoendelea huko Mbeya kimeonyesha hii ni version nyingine kabisa ya vijana waliojivua gamba la uoga
Gari za polisi zinaonekana kama ambulence, zinawasogelea wakidhani watakimbia ila hawana hofu kama tuliyozoea
Mikoa mingine kama Kigoma, Kagera, Rukwa, Singida, Iringa, Ruvuma, Tanga...
Wanatamani kuona mafanikio yako ila sio ya kuwazidi na hii ni hulka ya binadamu karibu wote hivyo ili kutoboa hapo ni kuwa MSIRI washitukie tu uko juu yao .
#Malenga wa Kiha
#Mwanasayansi Kalivubha
#Fikia ndoto zako
Kuna wale wakaguzi wa kilichopelea. Kwa kila simulizi wanakuja na ushahidi wa kile ulichokisahau:
‘Jamaa ni mtu mwema sana. Napenda anavyojiongeza akisikia shida ya mtu’—ndio lakini ana tatizo hili usilolojua ngojea nikwambie.
‘Shule zikifunguliwa nampeleka mwanangu shule X’—ile shule nzuri...
Wanabodi...
Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend.
Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya viwete, kutenganisha bahari na hata kurudisha uhai kwa wafu.
Je Mungu huyo yupo?
Maana nimefika...
Kesi kadhaa za kisheria zinaendelea kuongezeka dhidi ya kampuni kubwa za dawa, Eli Lilly na Novo Nordisk, huku baadhi ya wagonjwa wakizishutumu kampuni hizo kwa kushindwa kutoa tahadhari kuhusu uwezekano wa uhusiano kati ya dawa maarufu za GLP-1 na kupoteza uwezo wa kuona ghafla, kwa mujibu wa...
Salaaam! Kuna dogo aliomba kazi kupitia ajira portal.Anadai hakuwa kwenye mazingira mazuri hivyo akashindwa kupata kinachoendelea kwenye akaunti yake.Jana kachungulia kakuta kapangiwa kituo cha kazi tangu mwezi Augost. Mnaweza kushaurije kwenye hili wakuu?
Binafsi huu mwaka nimeona takriban watu 7 nilosoma nao na age mates wame uta majiko..
Mimi ndo hata hilo wazo sina..
Ila nahitaji kuwa a dad to my kids, then why the heck sichukui hatua? Bado sijajiweka in the position kupata mtu sahihi na ninao a fresh tu
Wakuu this is insane mpaka unaogopa...
Mijitu mipumbavu ambayo inatumia makalio kufikiri .
Mijitu inayodandia mada hata kama hizo mada haziwahusu. Inatakiwa ukiiblock isiweze kuona nyuzi au comment zako.
Habari Wadau
Naomba kujua uwa mnachukua hatua gani za kwenda kuona kiwanja kabla ya kununua au baada ya kununua katika site ya Tausi.
Je unaenda na Afisa ardhi au inakuwaje, maana ramani ya Tausi haiwezi kukupa direction nzuri mpaka kwenda kukiona kiwanja hususani kwenye maeneo ambayo bado ni...
Tanzania Ina vituko vingi sana jambo ambalo kwa kawaida Linalohitaji logic ya kawaida kabisa mkuhoji watu wanalazimisha subirieni tume afu wanashabikia tume walioiunda wenyewe.
Hivi kweli akili ya kawaida haikutumi kwamba ni kama mbwa kujifucha kwenye shamba la karanga!?
Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu
MAFAO BAADA YA KUSTAAFU
Pensheni ya kila mwezi: 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliye madarakani.
Kiinua mgongo: 50% ya jumla ya mishahara yote aliyopokea...
Baada ya kuingia duka la Mangi nimekutana na wine ya Tshs 1000 ilibidi niulize bei mara mbilimbili.
Nimependa strategy ya hawa jamaa, kutokana na ushindani mkubwa sokoni mengi yatajitokeza.
Ujazo - 200ml
Abv 14%
Mbeya kipindi cha mvua na chenyewe kunakuwa na siku nyingi za bila jua. Moshi leo ni siku ya 4 hatulioni jua. Ni mawingu yametanda tu muda wote hata kama hakuna mvua. Wenyeji wananiambia sometimes inaweza kufika wiki 2-3 pako hivi
Uzuri wa hali kama hii ni kwamba unaweza kutoka nje hata mchana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.