Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Wengine walevi,
Wengine malaya,
Wengine wana addiction ya nyeto, hadi wanawake pia.
Wengine, wana addiction ya kukesha vibarazani.
Wengine wana addiction ya kazi (workaholic)
In one way or another addiction sio mbaya, it depends where unavuna dopamine zako... Either kwenye vit constructive au destructive.
Binafsi naona addiction haikwepeki...
Hata great athletes wako addicted kwenye mazoezi... Kobe Bryant aliwekeza career yake kwenye discipline ya mazoezi. Siku akimiss mazoezi halali vizuri.
So, instead ya kuona addiction ni kitu kibaya, ni heri ukajiuliza tuko addicted kwenye kitu gani?
Alamsiki.