Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Mbeya kipindi cha mvua na chenyewe kunakuwa na siku nyingi za bila jua. Moshi leo ni siku ya 4 hatulioni jua. Ni mawingu yametanda tu muda wote hata kama hakuna mvua. Wenyeji wananiambia sometimes inaweza kufika wiki 2-3 pako hivi
Uzuri wa hali kama hii ni kwamba unaweza kutoka nje hata mchana ukatembea kwa amani bila kuunguzwa na jua. Pia siku nzima inakuwa na kaubaridi kazuri na hali ya utulivu.
Though hasara zake ni kwamba nguo zinachelewa kukauka na mazingira yanaonekana yamepauka as if yana rangi ya kijivu hivi. Hali kama hii nimeona wengi wanaotokea UK wakieleza kuwa ni common sana nchini kwao
Sehemu gani Tanzania umewahi kukaa ambako msimu wa mvua ukifika unaweza kukaa wiki 3 bila kuliona jua?
📷 Moshi in the last 4 days
.......................