Vital points au range areas ni somo la sayansi ya mwili, somo ambalo linamfanya mpiganaji wa ngao awe na uwezo au uelewa wa kumdhibiti adui, kumlemaza adui, kumshinda adui au kumuua adui kwa muda wa sekunde 3 - 5 .
Maeneo ya shabaha ni
1. The eyes
2. The nose
3. The side of the neck
4. The...
Nina kero yangu, Wakazi wa Goba Matosa maeneo ya kwa Bishilingi na Br hotel, DAWASA wanafungulia maji kwa upendeleo, baadhi ya nyumba zetu hatuna maji huu ni mwezi wa pili na cha kushangaza tunaketewa bill za maji kama kawaida.
Ukiwaambia wale wasoma mita wao hawatoi majibu ya kueleweka,kwa...
Mamlaka za Upangaji nchini zimetakiwa kuepuka kuandaa na kuidhinisha mipango ya matumizi ya ardhi katika maeneo hatarishi, ikiwemo mabonde na maeneo yanayopitisha maji, ili kulinda usalama wa wananchi na kuimarisha usimamizi bora wa matumizi ya ardhi.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
Mimi ni mkazi wa Arusha. Kero yangu inahusu baadhi ya askari wa usalama barabarani (trafiki) ambao wanatunyanyasa sisi madereva wa bajaji. Kuna maeneo ya Arusha mjini ambayo haturuhusiwi kuingia, licha ya kuwa maeneo hayo ndiyo yenye fursa nyingi za kupata riziki.
Tukiingia maeneo hayo na...
Anonymous
Thread
arusha
arusha mjini
bajaji
dereva
dereva bajaji
ila
kero
kuhusu
maeneo
mjini
sana
traffic
yangu
Mtafiti wa anthropolojia Hassan Ghazaly, mwanzilishi wa Jukwaa la Kimataifa la Nasser, amekutana na Balozi Dkt. Fayez Mustafa, Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Mkuu wa Sekta ya Palestina na Maeneo ya Kiarabu Yanayokaliwa kwa Mabavu, pamoja na Dkt. Nawal Al-Arabi, Waziri...
Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili.
"Hayo ameyaeleza...
Na hii ni kutokana na mizaha, dhihaka na dharau za kiwango cha juu sana dhidi ya tahadhari zinazotolewa na mamlaka husika pengine zaidi hata ya wale waliokua wakimdhihaki Nuhu wakati akijenga safina kujiepusha na gharika.
Tayari baadhi ya mikoa kama vile Kigoma, Manyara na kanda ya ziwa...
Jamani, tunaishi mwaka 2026, dunia inazungumzia AI, robots na safari za kwenda Mars, lakini ukiingia kwenye baadhi ya vyoo vya maeneo ya umma unajiuliza kama bado tuko kwenye zama za mawe tena nahisi hata zama za mawe vyoo vyao vilikuwa sio vichafu kama sasa huenda walikuwa wanakwenda porini...
BAGAMOYO, PWANI
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, leo tarehe 21 Oktoba 2026, imetekeleza ombi la wananchi wa Bagamoyo, mkoani Pwani, la kuoneshwa mipaka ya maeneo yao yaliyopo katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Sanzale, wilayani humo.
Akisimamia na kuelekeza utekelezaji wa zoezi...
Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Yusuf Masauni, amefanya ziara katika maeneo yaliyoathirika na mafuriko katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, kwa lengo la kujionea hali halisi ya athari za maji na kuweka mikakati ya kukabiliana na...
Kwa wale wagonjwa na wenye changamoto mbalimbali nawapa pole ,Mungu awape faraja.
Kumekuwa na hii kero ambayo imekuwa sugu,utumiaji wa sigara popote tu bila kijali afya za watu wengine Naomba wenye mamlaka pawekwe Sheria au kanuni ya hawa watumiji wawe na maeneo maalumu kwa ajili ya hiyo...
Hili eneo la Kivukoni ni chafu na linatoa harufu mbaya, hali inayosababisha usumbufu kwa watu wanaopita na wanaotumia eneo hilo.
Tunaomba serikali na mamlaka husika zifanyie eneo hilo usafi na kuliboresha ili liwe safi, lenye mazingira mazuri na linalofaa kwa watu kukaa na kupumzika...
Anonymous
Thread
chafu
hata
kivukoni
maeneo
naomba
sana
sehemu
serikali
Sisi ni wakazi wa Kata ya Nyamhongolo, katika mitaa ya Nyamadoke, Ibinza na Iwelyashenga, Wilaya ya Ilemela, Jiji la Mwanza. Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, hatujapata kabisa huduma ya maji kutoka MWAUWASA.
Hapo awali, tulikuwa tukipata maji mara moja kwa wiki, tena kwa muda wa saa chache. Hata...
Anonymous
Thread
ilemela
karibu
maeneo
mitaa
mmoja
mwanza
mwezi
mwezi mmoja
ukosefu
wakazi
wilaya
Maeneo ya Mbande, Msongola, Kitonga kumeanza kuwa na shida ya usafiri wa kuelekea katikati ya mji yaani Posta na Kariakoo.
Hii ni kwa sababu gari zote zenye hizo ruti za Stesheni, Posta & Gerezani Kariakoo zimekuwa zikinyimwa vibali za kutoa huduma kwenye hizo ruti.
Ikumbukwe awali mnamo Juni...
Ukianza dakar mpaka lusaka nikimaanisha ukiangalia miji aina ya maisha utaona yanafanana mfano kinshasa, lagos, kampala, dar es salaam, nairobi, n.k hii miji inafanana iko dominated na squatter na michafu plus hata maisha ya watu kwenye hizi nchi yanafanana je kuna operating system ya kiroho...
★ Asema maeneo yanapoachwa kama mapori hujenga dhana kuwa hayana mwenyewe
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka wawekezaji nchini kuhakikisha wanaendeleza maeneo waliyopewa kwa mujibu wa madhumuni yaliyokusudiwa, akisema kuyaacha bila shughuli na...
Baadhi ya maeneo mfano gongo la bonto walichokifanya siyo kuwandoaa,bali Ile barabara ya watembea kwa miguu ,wameigawa katikati mfanyabiasha atapanga bidha asivuke ktkt ya hilo eneo ,na Kuna meza nzuri wamechonga.
Ukitazama ni ubunifu mzuri
Swali langu lengo la kujenga Barabara / Road reserve...
Tufundishane ustaarabu. Mambo ya kufanya na kutofanya kwenye eneo fulani.
1. Kwenye Urinal.
Hupaswi kusalimia mtu. Ni marufuku kuangalia chini.
2. ATM.
Haifai kusalimiana salimiana.
Ningependa kupata ufafanuzi juu ya kichwa cha habari cha mada tajwa. Maana niliona tangazo kua machinga kukaa barabarani Wilaya ya Ubungo mwisho ni tar 29 mwezi wa tisa, lakini mpaka sasa machinga wamejaa maeneo ya Mbezi Luis, na wengine wanaboresha mabanda yao na mengine yapo juu ya mitaro, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.