Wavutaji wa sigara wawekewe maeneo maalumu/Sheria

Wavutaji wa sigara wawekewe maeneo maalumu/Sheria

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
820
Reaction score
917
Kwa wale wagonjwa na wenye changamoto mbalimbali nawapa pole ,Mungu awape faraja.

Kumekuwa na hii kero ambayo imekuwa sugu,utumiaji wa sigara popote tu bila kijali afya za watu wengine Naomba wenye mamlaka pawekwe Sheria au kanuni ya hawa watumiji wawe na maeneo maalumu kwa ajili ya hiyo burudani yao.Kwa kweli inasumbua sana.

Mtu hajali kabisa iwe barabarani.sokoni,yeye ni kurusha moshi tu Wala hajui huo moshi una madhara kwa wengine(watoto na watu wazima).
 
Wavuta sigara hawana shida kama walokole
 
Back
Top Bottom