Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Ukianza dakar mpaka lusaka nikimaanisha ukiangalia miji aina ya maisha utaona yanafanana mfano kinshasa, lagos, kampala, dar es salaam, nairobi, n.k hii miji inafanana iko dominated na squatter na michafu plus hata maisha ya watu kwenye hizi nchi yanafanana je kuna operating system ya kiroho kwenye hizi nchi hasa sub saharan ambayo iko sawa
Ukivuka sahel na ukienda morroco mpaka misri utaona aina ya maisha namna ya miji yao ilivyo utaona kabisa inafanana kwa kiasi kikubwa sana kwa lugha nyingine utagundua ni kama wanaoperating system ya kiroho tofauti na sub saharan
Ukianzia mexico mpaka argentina utagundua hawa watu wanafanana sana ila ukiingia marekani kutokea mexico utaona utofauti mkubwa utagundua marekani na canada wanafanana sana kuanzia miji mpaka maisha ya kawaida utagundua hawa ni kama wanaoperating system yao tofauti na ile ya mexico mpaka argentina
Ukianzia turkey ukaenda azerbaijan, uzbekistan mpaka kazakhastan utagundua hawa watu wanafanana sana kwenye mambo mengi na utagundua wanaoperating system yao ila ukianzia afganstan ukaenda pakistan, india, sri lanka mpaka bangladesh utagundua hawa watu wanafanana sana ni wachafu, wako disorganized na nikama wanaoperating system ya kiroho inayofanana
Ukianzia china, korea kusini, taiwani, singapore na japani hawa nao wanaoperating system yao ya kiroho sababu wanafanana sana kwenye mambo mengi sana kuanzia miji, wanafanya sana kazi kwa bidii inshort wanafanana
Ukienda new zealand, na austarlia wanafanana sana nao utaona ni kama wana-operating system ya kiroho inayofanana
Kuna maeneo yanashangaza na yanasupport hiki nilichosema

- Ukienda haiti utagundua nchi ina operating system ya subsahara na ukienda dominica republic utagundua wanaoperating system ya latin america, yaani ukiwa haiti ni kama uko nchi flani ya sub sahara afrika
- Ukienda south afrika utagundua wana-operating system kama ya marekani na canada ila ukienda msumbiji utaona wanaoperating system ya sub-sahara kwa hiyo utofauti ni mkubwa sana
- Ukienda israel na baadae ukaenda palestina utaona utofauti mkubwa sana wa kimaisha ni wazi israel wanatumia operating system ya ulaya ilihali palestina wanatumia operating system ya middle east na north afrika