Hivi kuondoa machinga ni maeneo yote Dar ES laam yote kasoro Mbezi Mwisho(Luis)?.

Hivi kuondoa machinga ni maeneo yote Dar ES laam yote kasoro Mbezi Mwisho(Luis)?.

KALINZI NYUMBANI

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
2,083
Reaction score
2,183
Ningependa kupata ufafanuzi juu ya kichwa cha habari cha mada tajwa. Maana niliona tangazo kua machinga kukaa barabarani Wilaya ya Ubungo mwisho ni tar 29 mwezi wa tisa, lakini mpaka sasa machinga wamejaa maeneo ya Mbezi Luis, na wengine wanaboresha mabanda yao na mengine yapo juu ya mitaro, na mengine barabarani kabisa hasa maeneo jirani na tawi la CRDB-Mbezi Luis, Kama maeneo haya yameharalishwa kwa ajili ya Machinga basi Machinga waambiwe ili wanaobugudhiwa sehem nyinginezo wahamie Mbezi Mwisho(Mbezi Luis).
 
watafikiwa tu , mambo yapo mengi kwa sasa, ni bora wangefocus kwenye kuangalia watapelekwa wapi
 
watafikiwa tu , mambo yapo mengi kwa sasa, ni bora wangefocus kwenye kuangalia watapelekwa wapi
Maana naona wanayangea kabisa na kuyaweka milango mabanda yao, ingawa yapo mbele ya maduka ya watu, sasa Serikal inaona baadae wakimaliza kuyajenga eti ndio inakuja kuyabomoa. Ni afadhari itoe ruksa kwa kila machinga au ikataze watu kuyaendeleza mabanda yao.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Hakuna atakayeweza kuwaondoa Wamachinga, machangudoa wala bodaboda. Kuwaondoa kunahitajika mipango mizuri na mahali sahihi pa kuwapeleka. Sasa wakiwaondoa watakwenda wapi? Watakula nini?
 
Maana naona wanayangea kabisa na kuyaweka milango mabanda yao, ingawa yapo mbele ya maduka ya watu, sasa Serikal inaona baadae wakimaliza kuyajenga eti ndio inakuja kuyabomoa. Ni afadhari itoe ruksa kwa kila machinga au ikataze watu kuyaendeleza mabanda yao.
wafanyabiashara vita hiyo wanaiweza wenyewe, wakulima wakivamia mashamba wanalima mazao yasiyoyakudumu, kwa maana siku mambo yakiwa mabaya kusiwe na hasara kubwa
 
Back
Top Bottom