maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee wa Code

    DOKEZO Jiji la Dodoma kuna changamoto ya mpango mji, Watu wengi wanaishi maeneo hatarishi

    Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024 Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007. Mbali na hapo uamuzi wa Hayati Rais John Magufuli kuhamishia rasmi makao makuu ya Serikali jijini hapo kumeifanya Dodoma iwe ‘busy’...
  2. Ritz

    Baada utawala wa Syria kuanguka Israel wamekimbilia kuchukua maeneo katika miji mitano katika milima ya Golan ya Syria wanazidi kuongeza mgogoro

    Wanaukumbi. 🚨#BREAKING: Israel imezidisha uchokozi wake kwa kuingia katika miji mitano katika Milima ya Golan ya Syria. Miji mitatu kati ya hii iko ndani ya eneo la buffer lililosimamiwa na UN la 1974, eneo ambalo Israeli ilitekwa kinyume cha sheria katika vita vya 1973 na kulazimishwa kurejea...
  3. Mwanongwa

    DOKEZO Halmashauri Mbeya imetuuzia maeneo yenye Mwekezaji anayehatarisha afya zetu kwa kutumia baruti

    Mimi kama mkazi wa Jiji la Mbeya kuna kitu sikielewi kutoka kwa Viongozi wa Jiji hasa Idara ya Ardhi na Watu wa Mazingira wa NEMC. Huku Mbeya katika Kata ya Nsalaga, Bonde la Uyole, Uongozi wa Halmashauri ulianzisha mradi wa viwanja vipya na kuhamasisha sana Wananchi wajitokeze kununua viwanja...
  4. Roving Journalist

    Uongozi wa UDSM watoa angalizo uwepo wa CHATU maeneo ya Shule ya Msingi Mlimani

  5. chiembe

    Uko tayari? Dar es Salaam mpya inakuja. Serikali kutwaa eneo la mita za mraba 233,000. Maeneo ya Sinza, jirani na Mlimani City, Boko, SIMU2000 kuguswa

    Dar inapangwa upya, Sinza inasukwa upya, maeneo jirani na Mlimani City yanasukwa upya. Serikali inaenda kutwaa eneo la ukubwa wa mita za mraba 233,000 na kulipanga upya. Maeneo kama Sinza yana viwanja vya 20/20, na maeneo hayo kwa sasa ndio ujenzi mkubwa wa maghorofa unakuja. Ni vyema serikali...
  6. JanguKamaJangu

    Polisi: Tumewakamata watuhumiwa waliokula njama ya kutaka kumteka Tarimo - Kiluvya

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Kwa ujumla hali ya usalama Dar es Salaam inaendelea vizuri. Pia soma: Watuhumiwa waliotaka kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) wafikishwa...
  7. G

    Hakuna kitu kinauma kama kuona mtaa uliokulia nyumba nyingi zimefanywa kuwa maduka, biashara, n.k.

    Kuna maeneo ya makazi tuliyowahi kukulia yaliyokuwa yanawaweka watu pamoja huwa yanaanza kupoteza asili yake kwa kugeuzwa kuwa maeneo ya biashara, unakuta majirani karibu wote uliowahi kuwajua wamehama wameuza plot, mtaa umejaa fremu, magorofa, bar, lodge, gereji, magodauni, n.k. Nyumba za...
  8. M

    Chuo bora cha ushonaji maeneo ya Tegeta, Wazo hadi Kawe

    Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe. Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau
  9. Waufukweni

    LGE2024 Tabora: Maeneo Matatu Wilayani Uyui kurudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya changamoto kadhaa

    Jumla ya maeneo matatu kutoka wilaya ya Uyui, mkoani Tabora yanatarajia kurudia uchaguzi wa serikali za mitaa kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo vifo vya wagombea siku chache kabla ya uchaguzi na mwingine kupigiwa kura nyingi za hapana katika uchanguzi uliofanyika Novemba 27 mwaka huu...
  10. Mtoa Taarifa

    DOKEZO Maeneo mengi nchini yanaripotiwa kutokuwa na Umeme, kuna shida gani huko TANESCO?

    Leo hii, Watanzania katika mikoa mingi wamejikuta wakikumbwa na tatizo kubwa la kukosekana kwa nishati ya umeme. Hali hii imeleta usumbufu mkubwa kwa shughuli za kila siku, kuanzia viwandani, katika ofisi, hadi majumbani. Kutoka mitandao ya kijamii hadi vyombo vya habari, wananchi wameendelea...
  11. A

    KERO Machinjio ya Manispaa ya Moshi hayana hadhi kiafya kwa Mifugo na Wakazi maeneo yanayoizunguka

    Muda mwingi mifugo wanakaa juani. Hakuna kivuli cha kuwakinga na jua, ama eneo maalumu la kulishia. Wanakaa pamoja na kuficha vichwa kwa kujikusanya pamoja, kukwepa makali ya jua. Pia, mfereji wa maji taka toka machinjioni umeziba na upo wazi kwa miaka na miaka. Eneo la kuchinjia halina...
  12. M

    DOKEZO Tumevunjiwa maeneo yetu ya biashara Tungi Mnadani - Kigamboni bila taarifa, tunaomba msaada wa Serikali

    Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam. Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia...
  13. Roving Journalist

    LGE2024 Matokeo ya Uchaguzi Mwanza yaanza kutangazwa, CCM yaongoza maeneo mengi ikifuatiwa na CHADEMA

    Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika baadhi ya mitaa Jijini Mwanza yameanza kutangazwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikionesha kuongoza kwenye vituo vingi Wilayani Nyamagana. Aidha, licha ya baadhi ya Mitaa Wilayani Nyamagana na kushuhudiwa Wagombea wa CCM wakitangazwa kuongozwa Kwa...
  14. GANJIBHAAI

    Ifike wakati haya mashirika yetu ya nyumba yaanze kununua maeneo ambayo ni prime kwenye miji yetu

    Kwa vile mimi simjuaji naomba kuuliza, hivi kuna utaratibu Mashirika yetu ya nyumba kununua maeneo mapya kwa ajili ya kuyaendeleza? Na kama ndio hawawezi kununua Kinondoni,Magomeni Mwananyamala, Nearby Airport na maeneo mengine ambayo ni prime kwa utaratibu mzuri? Build Vertical Residence...
  15. Panctuality

    Hodi Dodoma,chakula Cha kipekee napata wapi maeneo

    Habarini Wana Dodoma, nimeingia hapa jijini Leo jioni toka Mbeya,mwenye kujua location ambayo naweza kupata chakula Cha kitofauti kabisa mathalani ugali wa mtama au uwele na nyama ya punda anielekeze ili nikirudi Mbeya ije kuwa sintosahau radha ya hicho chakula
  16. Y

    Nahitaji shamba maeneo ya kibaha/mlandizi/vigwaza

    Wapendwa wapi ninaweza kupata shamba hata kama sio kubwa saana lakini maeneo hayo hapo niliyoyataja na je nitapata kwa bei gani.
  17. Eli Cohen

    LGE2024 Vipi harakati za siku ya kwanza ya kampeni maeneo ulipo?

    Aisee yani ni watu wanajibizana na boda boda duuh Yani vruuuuuuuu.... Tangia asubuhi!!!!!!
  18. Mwakawasila

    Umuhimu wa juhudi na subira katika uwekezaji

    SUBIRA, JUHUDI NA ....soma Hadi mwisho ujue Cha tatu Kulikuwa na mkulima mmoja aliyepata mbegu ndogo sana kutoka kwa rafiki yake. Mbegu hii ilionekana dhaifu na isiyo ya thamani, lakini rafiki alimwambia, "Mbegu hii ina uwezo wa kukua na kuwa mti mkubwa wenye matunda ya kipekee, lakini lazima...
  19. M

    TANESCO wekeni mipaka au Bicon kwenye maeneo ya miradi mikubwa kuepuka kuwabomolea wananchi nyumba zao hapo baadae

    Nalileta hili kwenu kwa sababu nimeona madhara mengi kwa wananchi. TANESCO, mnatakiwa mkishapima eneo, hasa kwenye miradi mikubwa ya nguzo za chuma, muweke alama zenu za mawe (bicon). Sababu ni kwamba maeneo ya mwisho wa mipaka yenu huleta mizozo mingi na wananchi. Hata kama mradi wa kujenga...
  20. U

    IDF, wakazi wa majengo 6 kusini mwa Beirut na maeneo jirani waondoke mara moja kwa usalama wao, shambulizi kubwa la ndege linakuja

    Wadau hamjamboni nyote? IDF itafanya shambulizi kubwa la ndege maeneo hayo Wakazi wakae umbali mita 500 Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo na kiarabu November 13, 2024 IDF issues evacuation warning for 6 Beirut buildings ahead of strikes against Hezbollah By Emanuel Fabian Follow...
Back
Top Bottom