Habari za asubuhi waungwana!
Wamiliki wa uwanja wa 'KMC COMPLEX' wameamua kufunga kamera za kurekodi matukio (CCTV camera) sehemu nyeti za uwanja huo.
Akizungumza kwa sharti la kutotaka jina lake litajwe mmoja wa wasimamizi wa uwanja alidokeza kuwa sehemu zitakazofungwa kamera ni pamoja na...
Habari njema hii bwana Trump ampa maelezo Zelesky ajikite kutafuta amani na siyo kurudisha maeneo Kwa hiyo Yale majimbo ya kilimo cha ngano baibai Kwa heri ya kuonana na bandari ya kimkakati Kwa heri.
Best wishes Mr Trump.
Jana nilikuwa maeneo fulani pale black and white (Moro Town) hii bar ina nyama choma nzuri sana. Napenda kukaa konani sana
Mara pah wakaja wadada wawili wakaka pale mezani, simu yangu ikaita kuna mtu alinipigia simu alikuwa na changamoto yake ila huwa sipendi kuongea na mtu mazingira yasiyo...
Nimetoka zangu Tukuyu Mbeya nimekuja na scania mende na humo nilijaza mzigo wa ndizi matoki wote wangu na nimefanikiwa kuuza jana wote soko la mabibo nina kakibunda kanene kiasi na lengo la kujaza scania mende hii ni kwa ajili kuweza kufanya matanuzi na kukamata wachumba kede kede wa daslam...
Salam,
Tunaendelea katika episode nyingine ya 'MZINDUE AWESO MAJI YAREJEE', na leo tumpe mbinu nyingine ya kujua uhalisia wa kinachotokea mtaani. Yaani hii wiki inaenda kuisha kule Mbezi Beach maji yametoka haijazidi siku moja, afu Waziri Wizara ya Maji huko anajitapa tu maji yapo na chawa...
Habari wadau . Nimefanikiwa kukopa pesa bank hivyo nahitaji kiwanja kilichokuwq mjini maeneo ya mwanayamala, kinondoni na makumbusho. Ikishindikana kabisa nipate hata maeneo ya kawe
Tumekuwa na wakati Mgumu sana ndugu zanguni. Wakati ule anapigwa Hamas tulisema ajaribu kwa Hezbollah. Atakiona cha mtema kuni.
Walipomalizana na Hamas wakaanza na Hezbollah. Wakawapiga kinyama. Wakatamani na Iran. Iran akachokozwa akaingia kwenye mfumo. Tukaanza kuwashabikia Iran kuwa sasa...
Habar wakuu nahitaji kiwanja dar cha sqm800 kwa Dar maeneo yapi mazuri yamepangika vizur ambayo sio ushwahilini.
Hiwe rahisi kwa mishe ya mjini buget yangu ni 15m
Israel na Iran, zote zimekiri kuwa Israel, kabla ya kufanya shambulio dhidi ya Iran, kwanza iliitaarifu Iran juu ya muda na maeneo ambayo ingeyashambulia. U aweza kushangaa na kujiuliza, lengo lilikuwa ni nini? Maana ni sawa sawa mtu akuvizie ukapige kwenye mguu, ukaa kimya, halafu siku nyingine...
Habari wakuu,
Tunaelekea kwenye zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa/vijiji ambapo watanzania maeneo mbalimbali nchini watapata fursa ya kuwachagua viongozi ambao wanaamini watawasadia kuleta mabadiliko ya kimaendeleo katika maeneo yao.
Leo tarehe 26/10/2024 mpaka tarehe 1/11/2024 ni zoezi la...
Hii barabara inajengwa Chanika mwisho,Lukooni mtaa wa Chabupu umbali wa mita 300 tu.
Barabara hii imepita mbele ya ofisi yangu kabisa inasemekana ni barabara kubwa inayotakiwa kuunganisha Chanika na Buza japo sina uthibitisho kamili.
Hakuna mradi wowote wa kiserikali kwa sasa na wala haitumiki...
Hii ni tahadhari ila si sheria, amua mwenyewe kufuata qu kuacha. Kuna mikoa inasifika kwa wanawake watata na jasiri na kubishana na mume.
Mkoa wa Mara. Wanawake hawa ni watiifu kwa waume lakini ukizingua zinapigwa kiroho safi nimetaja Mara japo wakuria ndio wanajulikana kwa ukorofi lakini...
Fanya observation ndogo 1.utagundua mazingira unayokaa kuna Ile hali ya kuridhika ya wale wazawa wa eneo Husika(maendeleo mara nyingi yanaletwa na watu wakuja)
2.Ubaguzi wa kazi pia unapokuwa unaishi mahali ulipozaliwa kuna Ile hali ya uoga inakuja automatically kwamba kazi siwezi fanya Ila...
Waha wangeamua kuishi kifahari wangeweza ila wengi wanapenda kuficha utajiri wao. Ni mara chache sana kuwakuta Waha wakiishi maeneo ya uzunguni.
Hata awe na pesa kiasi gani atakwenda kununua kiwanja eneo lisilopimwa. Yupo tayari ameseme ana viwanja hata kumi ila vyote hakuna chenye sqm 1000...
Habari zenu mafundi nataka kujua ni kiasi gani naweza kujengewa Ghorofa moja kwa maeneo ya kijijini
Nataka kujua bei tu ya ufundi mbali na vifaa vya ujenzi maana kuna sehemu nilipata majibu ya kushangaza na kustaajabisha kuhusiana na ujenzi wa Ghorofa
Napenda kupata majibu kutoka mafundi...
Kukata au kupunguza matumizi katika maeneo kadhaa ni mkakati muhimu ambao utakusaidia kuwa na ziada ya pesa kwa ajili ya matumizi mengine muhimu ya kimaendeleo.
Tunaangazia maeneo 10 ambayo ukiyazingatia itakusaidia kuwa na kiasi kikubwa cha pesa kinachobakia
1. PUNGUZA MATUMIZI YA KODI YA...
Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia.
Hadi kufikia leo hii Oktoba 2024, inatimia Miaka miwili hatujafidiwa licha ya kuwa maeneo yetu yalikuwa na uwekezaji wa mazao na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.