Kwanza kabisa kama ulisoma boarding, ni kipi ulichomzidi mwenzako aliesoma day na mkafaulu wote mpaka mkahitimu chuo ?
Kwa hali ya sasa kuna maeneo yana shule kibao za day na zinafaulisha, Je tuendelee na ule utaratibu wa kupeleka watoto boarding kama zamani ?
Binafsi nakumbuka nilisoma...
ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED
P.O. BOX 30112
KIBAHA - PWANI
Simu: 0656 166 742
Barua pepe: eshodmang23@gmail.com
ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED tunapenda kukutaarifu kwamba tunatoa huduma bora za ulinzi kwa maeneo mbalimbali, yakiwemo:
Ofisi za serikali na binafsi
Shule, vyuo, na...
ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED
P.O. BOX 30112
KIBAHA - PWANI
Simu: 0656 166 742
Barua pepe: eshodmang23@gmail.com
ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED tunapenda kukutaarifu kwamba tunatoa huduma bora za ulinzi kwa maeneo mbalimbali, yakiwemo:
Ofisi za serikali na binafsi
Shule, vyuo, na...
Hivi niseme kutafuta vyanzo vya mapato katika msikiti na kwanini ni wao tu mbona Makanisa katoliki hakunaga utaratibu huu?
Na wale wazee wanakuwepo pale Kkoo na bango la msaada wa ujenzi Msikiti huwa ni kweli au imani anakaa juan kuanzia asubuhi hadi jion au ni imani imemtuma?
Nilitembelea maeneo ya kariakoo juzi nikaona mazingira yaliyopo yale majengo ya maghorofa yalivyo kwa kweli yanitia wasiwasi kuhusu uimara wake kwamba huwenda yakaja kudondoka zaidi na kuuwa watu ukiachana na umri wa majengo yale na jinsi yanavyo lemewa uzito na wingi wa watu wanao yatumia...
Eneo zuri kuishi kwanza liwe na watu wengi, pia liwe na mzunguko mzuri wa biashara. Nitajaribu Kutaja baadhi ya maeneo kama ukijaribu kutembelea utanishukuru kwa uzuri wa maeneo hayo
CHATO, MBEYA, TUNDUMA, MULEBA, MOROGORO, MAFINGA, SONGEA, TUNDUMA, VWAWA
ONGEZEA MENGINEUYAJUAYO
Tumepita sasa hivi hapo, Basi la Asante Rabbi linalofanya safari zake Arusha Mwanza, limegonga Canter baada ya dereva wa basi hilo kujaribu ku-overtake.
Mtu mmoja mwanaume amelala chini pembezoni mwa ajali huku akiwa hajitambui.
Maafisa wa jeshi la polisi wamefika eneo la tukio.
Taarifa zaidi...
Akiongea mbele ya waandishi wa habari, Zele amekiri kwa mara ya kwanza ya kuwa jeshi lake haliwezi kuyarudisha majimbo na maeneo yake kadhaa yaliyochukuliwa na jeshi la Urusi tangu septemba 2022 (Donetsk, Luhansk, Kherson, and Zaporizhzhia), pamoja na Crimea-lilichukuliwa tangu mwaka 2014...
Wakuu kwema? Mm sijambo
Nilikuwa natafuta scientific reason ya kubadili mawazo yangu ya kupeleka biashara maeneo ya kusini na kuchagua eneo jipya la kupeleka biashara.
Mpango wa biashara ni kucheza na minada mbalimbali utakaoanza kutekelezwa mwanzon mwa mwezi wa kwanza. Ninafikiria kupeleka...
Habari Wakuu wa JF,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Hii itaweza kuwa msaada kwa ndugu zetu wanaopanga kuja likizo ya sikukuu za mwisho wa mwaka maeneo ya Arusha na Moshi.
Kuna mambo kadhaa ni muhimu kuweza kuyajua hasa kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri (magari) na wale wanaopendelea kwenda...
Kwa muda wa miaka zaidi ya 1000 kinywaji cha kahawa kimendelea kushika chat kwa kunywewa duniani
Wauza kahawa wa vijiweni sasa wameanza kukimbia gharama ya unga wa buni. Kwa sasa kuna mambegu fulani yanaitwa maharo au maharage nayo yana uchungu ila harufu yake mbaya.
Wanachokifanya hawa wauza...
Jaribu kujenga sehemu iliyojaa watu wenye connections aidha wamejaa waajiriwa wa serikali kuanzia ngazi za kati au wafanyabiashara wa kuanzia vipato vya kati, n.kl., haimaanishi wawe matop sana ila si haba wawe na uwezo flani sauti,kuwa nakaji uwezo hata kwa mbali kanakoweza ku influence...
Kila siku nasema kuwa akili ni nywele.
Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo.
Wenzetu Kenya waligundua wana tatizo la mipango miji, kwa maeneo mengi kujengwa vibaya bila mpangilio na kufanya wananchi wengi kuishi...
Leo tarehe 15 dirisha limefunguliwa
Me kama mwanachama hai wa Yanga Nina mapendekezo yafuatayo
1. Kiungo mkabaji
Yanga inahitaji kiungo mpya wa ukabaki
Khalid Aucho naona amechoka, ana majeraha ya mara Kwa mara tukimtegemea tutafeli kabisa
Utimamu umepungua nadhani ni muda sahihi wa kumpa...
Leo nikiwa zangu nimesimama sanamu ya askari pale posta mtaa wa samora Kuna kijana mmoja alikuja akaniuliuza jina ambalo mimi sijawahi kulisikia kabisa
Niko zangu nimesimama sijui hili wala hili mara nikasikia bro Mambo vip nami nikasema fresh ndugu yangu
Mshikaji akaniuliuza bro magari ya...
Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN...
Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo...
Ni karibu mwezi sasa maji ya dawasa yanatoka kwa machale maeneo ya kimara.
Yaani, yanatoka kwa masaa 24, baada ya hapo hayapo mpka baada ya siku tatu ndio yanatoka tena.
Mfano mara ya mwisho mabomba kutiririsha maji ni siku ya jumanne, hadi leo hakuna kitu.
Na hii hali ina karibia mwezi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.