Agizo la wafanyabiasha wadogo baadhi ya maeneo limetekelezwa kwa asilimia 50%

Agizo la wafanyabiasha wadogo baadhi ya maeneo limetekelezwa kwa asilimia 50%

BIOTOXINS

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2026
Posts
1,091
Reaction score
2,283
Baadhi ya maeneo mfano gongo la bonto walichokifanya siyo kuwandoaa,bali Ile barabara ya watembea kwa miguu ,wameigawa katikati mfanyabiasha atapanga bidha asivuke ktkt ya hilo eneo ,na Kuna meza nzuri wamechonga.
Ukitazama ni ubunifu mzuri
Swali langu lengo la kujenga Barabara / Road reserve ni lipi watembea kwa miguu au wafanya Biashara wadogo

Watu wa frem wanalipa kodi Bado wamezibwa

Vp maeneo mengine
Weka tathimini mahali ulipo hali ipoje
 
Back
Top Bottom