A
Anonymous
Guest
Hili eneo la Kivukoni ni chafu na linatoa harufu mbaya, hali inayosababisha usumbufu kwa watu wanaopita na wanaotumia eneo hilo.
Tunaomba serikali na mamlaka husika zifanyie eneo hilo usafi na kuliboresha ili liwe safi, lenye mazingira mazuri na linalofaa kwa watu kukaa na kupumzika.
Tunaomba suala hili lifikishwe kwa wahusika ili hatua zichukuliwe haraka.