Hili lilikuwa kama swali kuhusu pisi tano nilizofanikiwa kuona hata picha tu

Hili lilikuwa kama swali kuhusu pisi tano nilizofanikiwa kuona hata picha tu

Bwashee nipo kazini ila chumba cha kubadilishia mavazi la muhimu nimejificha humu ninywe bia zangu tu😁
Vizuri sana kijana wa kikatoliki

Niliona malalamiko yako nakuombea uwe na aman sana mkuu

Basi piga kazi bro wangu kufanikiwa kwako ndo kufanikiwa kwetu pia

Ila huyo angle nyilon ni mshangazi na anaishi mtaa uliojaa vibaka hapo Zanzibar
 
Back
Top Bottom