Hili lilikuwa kama swali kuhusu pisi tano nilizofanikiwa kuona hata picha tu

Hili lilikuwa kama swali kuhusu pisi tano nilizofanikiwa kuona hata picha tu

Sio hivyo meku. Bata kiaina na mambo mengine. Najua hatuwezi kuachana kuna harakati mingi za kupigana tafu sio bata tu japo ikitokea nafasi tunakula maisha kama vile kesho haipo.

Maisha ndio haya haya.
Nakubali mnama , mimi leo acha nijitusue bwashee, mbaya zaidi leo nimemnunulia mama yangu ka gari kake ka kutokea 😁😁


Kesho ni siku yake ya kuzaliwa mangi😁
 
Back
Top Bottom