Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Sisi ndio tuko mtaani babu msitubague😁Nakupenda mjukuu!🥰
Sisi ndio tuko mtaani babu msitubague😁Nakupenda mjukuu!🥰
Huo nao ni muujiza au hujataka tu 😏Nasubiri utende muujiza na me nifanye muujiza.. muujiza kwa muujiza 🤣 by the way nmesema "sio kama wengine Hawana hela" mnazo sana tu sijui kama za ku drive beamer ila mnazo.
Mimi kusema nakupenda ndio hujibu, unajibu vitu sijasema. Mambo gani haya!!Sisi ndio tuko mtaani babu msitubague😁
hizi ndio pisi kali za JF unazozikubali na kuzipitisha Mkuu ?
Babu muda wa cha asubuhi huu we unaamkia kupenda wajukuu zako🤣Mimi kusema nakupenda ndio hujibu, unajibu vitu sijasema. Mambo gani haya!!
Nilitaka kukufurahisha walau level ya now we are talking ndo class yako hiyo, au basi nisijieleze sana we bana kufuli lakoHuo nao ni muujiza au hujataka tu 😏
Sie tuna drive washroom tu huku! Siku tukijaaliwa tutawapostia😁
Basi nimekoma, sirudii tena, umenishushua mjukuu!🤪Babu muda wa cha asubuhi huu we unaamkia kupenda wajukuu zako🤣
Umezingua big time! Kufuli linalegezwa tu mbona hiloNilitaka kukufurahisha walau level ya now we are talking ndo class yako hiyo, au basi nisijieleze sana we bana kufuli lako
Hahaha ntakushangaza na Jetour T2 we nidharau tu😂Uki post ki ist chako nitag pls 🤣🏃🏾🏃🏾
Nakukumbusha tu incase ulisahau🤣Basi nimekoma, sirudii tena, umenishushua mjukuu!🤪
Angemuona yule bwana mkubwa angeikimbia JF kabisa.Ama kweli kila mtu ana namna yake ya kuona kitu kizuri 😂
Yupi huyo😆Angemuona yule bwana mkubwa angeikimbia JF kabisa.
Hatumtaji, ni sirikali 😁Yupi huyo😆
Fanya hivo basi acha kua kichwa ngumu, nikawaza hadi jina langu liki reflect utakimbilia LinkedIn profile unione mana na wee hujambo 🤣 Bora tuwe exposed wotee 🤣 acha umafiaUmezingua big time! Kufuli linalegezwa tu mbona hilo
Amen Amen na ikawe hivo mtumishi mbona inawezakana, kukudharau never!Hahaha ntakushangaza na Jetour T2 we nidharau tu😂
Kumbe?
Acha mishangazi itambe humu😁😍Nashangaa anaweka mishangazi anawaacha nyie mabinti, au mmemkataa?
Sasa kwanini utumie jina lako😂 ishi kimasta, yani usieleweke na mtu, watajua wenyewe huko!😎Fanya hivo basi acha kua kichwa ngumu, nikawaza hadi jina langu liki reflect utakimbilia LinkedIn profile unione mana na wee hujambo 🤣 Bora tuwe exposed wotee 🤣 acha umafia
Tuanze maombi ya kufunga na kuomba basi🧎🏻♀️🧎🏻♀️Amen Amen na ikawe hivo mtumishi mbona inawezakana, kukudharau never!
Tunamalizia malizia tuwapishe madogo😆Acha mishangazi itambe humu😁😍