Hakuna kitu hapo nakumbuka humu kuna pisi moja tu kali na haijionyeshi sana siku hizi imejificha mnoo ila ilipoingia ilikua ya moto balaa nadhani kuna muhuni kaituliza sasa hivi imefocus na mambo yake serious tu no drama
Kwa wachache niliowaona, n wa kawaida mnoHebu wewe tupangie
Sisi mademu wenye sura za baba tuna uzuri wa ndani.Hivi BICHWA KOMWE - hawajakutaja kabisa basi hizi list zao ni batili
mhhh daddyKwa wachache niliowaona, n wa kawaida mno
Oya mpo wengi sio peke yakoSisi mademu wenye sura za baba tuna uzuri wa ndani.
Kwa nje tunaonekana kama migambo lakini ndani tumenona.
Mimi nimeshangaa ila inategemea maana tunatofautiana kila mtu ana ukali wake mwingine akiona fito tz11 anasema ndio ukali mwingine akiona kiroba cha sembe anaona ndio ukaliKwa wachache niliowaona, n wa kawaida mno
Hata mimi nimeshtuka sana nilipoona hivyoKwenye hiyo list kuna wawili ni wanaume mbona...š¤
Thanks niece wangu mrembo š, hawakujui tu na wewe ulivyo mnono š„Kwenye hio list tupia Binti wa zamani mzuri huyoooošnampa maua yake aiseee
Wananisikia tušš¤£š¤£š¤£šThanks niece wangu mrembo š, hawakujui tu na wewe ulivyo mnono š„
Nikubalie lile ombi langu, unajua unachelewesha watoto kuanza shule?Seran š
Ebu nitumie kapichaWananisikia tušš¤£š¤£š¤£š
Hivyo hivyo tu mimi sijaliKwao Kuna mbwa wakali shaul yako
Naam babemhhh daddy
Uliwahi kuonana nao wapi?
MhhhUliwahi kuonana nao wapi?
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Sisi mademu wenye sura za baba tuna uzuri wa ndani.
Kwa nje tunaonekana kama migambo lakini ndani tumenona.