Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Huwa ninammendea Sana huyo mshangazi ila sijawahi ku cross path naye kabisa.... Naomba ins and outs zake mkuuVizuri sana kijana wa kikatoliki
Niliona malalamiko yako nakuombea uwe na aman sana mkuu
Basi piga kazi bro wangu kufanikiwa kwako ndo kufanikiwa kwetu pia
Ila huyo angle nyilon ni mshangazi na anaishi mtaa uliojaa vibaka hapo Zanzibar