jambo Dunia
JF-Expert Member
- Jun 6, 2026
- 292
- 817
Nashukuru wangu hayupo hapo kwenye list bwasheee ....kumbe bd ujakutana nayee ...fanya naye uonane naye nazan utamweka 0 ndio moja ifatee alooo
C ndio maana ya binadamu kutofautiana mkuu kwanzia akili mpk mtizamoo hahhahahhaAma kweli kila mtu ana namna yake ya kuona kitu kizuri 😂
ni hatari mkuuKumbe JF kuna watu kweli! Mimi nilijua mtu ni mimi tu wengine robots
Ka Depal hata mimi nakaelewa, nilikakosakosa kukazalisha sasa hivi kangekuwa kanalea!
Wivu unamsumbua kila binti anayemjaribu pm anamtolea nje😆Bwashee nii kama una susa😁😁
Seran 😎yupi ni waifu matirio?
Nashangaa anaweka mishangazi anawaacha nyie mabinti, au mmemkataa?Kwenye hio list tupia Binti wa zamani mzuri huyoooo😍nampa maua yake aiseee
Hee hata masaa 24 hayajapita ushaanza kutudhalilisha tusio na ela🫢Kweli kila zama na utawala wake kipindi najoin 2024 alikua ana kick Bantu Lady ndio pisi pekee nilibahatika kuona imepost Beamer dashboard iko full tank, sio kama wengine hawana hela am just saying u know 🤣 levels
We mzee unasemaje?Jf kuna kazi nzuri, sema pia unaweza kuangukia pua kwa maana ya akili zero kabisa.
Nakupenda mjukuu!🥰We mzee unasemaje?
Nasubiri utende muujiza na me nifanye muujiza.. muujiza kwa muujiza 🤣 by the way nmesema "sio kama wengine Hawana hela" mnazo sana tu sijui kama za ku drive beamer ila mnazo.Hee hata masaa 24 hayajapita ushaanza kutudhalilisha tusio na ela🫢