Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Mhmm!! Uliniona wapi?
Mi ni pisi mbovu kuwahi kutokea hapa JF 😹😹
Mhmm!! Uliniona wapi?
😹😹😹 Wizo akili zako unazijua mwenyewe..!!Sisi mademu wenye sura za baba tuna uzuri wa ndani.
Kwa nje tunaonekana kama migambo lakini ndani tumenona.
Na wewe sio pisi kali?Depal ni kisu wallah
Maisha matamu.....nakuelewa😅😅😀😀Mimi sahiz nakuwa kibonge nakuwa kama kiroba 😀😀
hahahahahahaha,Swahiba sio kweli😅😅😅😅😅Ogopa Matapeli Swahiba..
Ni sawa tu Kama Lema alivyomtuhumu Heche.Mtaje yule mnyaki wako.
Mimi mbibiNa wewe sio pisi kali?
Nazungumzia uzuri sio umri.Mimi mbibi
Dunia ndogo hii😁😁😁😁Mhmm!! Uliniona wapi?
Mi ni pisi mbovu kuwahi kutokea hapa JF 😹😹
Nakupa 100 💯enwei ni macho yako sameja, siwezi kukupinga 🙏
Kwani picha zao ni real mkuu?😅🤣😅
We subiri wakujaze😆Kumbe seran ni Mali, ila huyo depal hata jina tu linaonyesha
La kuhamia kijijini?Nikubalie lile ombi langu, unajua unachelewesha watoto kuanza shule?
Alilewa mumsamehe jamani lohh!!Kwani picha zao ni real mkuu?😅🤣😅
Pokea maua yako mamaake😁Mweh !!! Ni Filter tu zile sina lolote.
Hapana kiuhalisia sina hizo sifa lamama.Pokea maua yako mamaake😁
Mbona sisi tumepokea za bwana pampula huko juu😆Hapana kiuhalisia sina hizo sifa lamama.